Naibu Waziri wa Madini Stanslaus Nyongo amemuagiza Afisa Madini wa mkoa wa Tabora kutoa leseni za uchimbaji wa madini ya dhahabu katika mgodi wa zamani wa Resolute ulioko wilayani Nzega mkoani...
Jana niliweka video humu ikionyesha Tundu Lissu kuzuia njia kwa magari yake ili kivuko kisiweze kushusha abiria na mizigo. Wapo waliosema kuwa nilikuwa nadanganya umma. Haya fuatilieni video hapo...
Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi.
Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya...
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Bwana Gelasius Byakanwa atoa mwezi 1 kila mwananchi mkoani humo ahakikishe anamiliki shamba la Mikorosho, vinginevyo serikali itawachukulia hatua za kisheria.
Taarifa...
Habari Tanzania!
Nafurahi kuona raia na wazalendo wachache nchi hii kutokukata tamaa, wenye ujasiri na shupavu kukabili changamoto hasi zilizopo mitaani.
Vijana na wazee wachache wanaojitambua...
Suala la uraia pacha, limejitokeza tena kuwa hoja nzito katika mkutano wa tatu wa uratibu wa wadau Watanzania wanaoishi ughaibuni (diaspora), huku baadhi wakiitaka serikali kuharakisha mchakato wa...
Hawa ni wapambanaji wawili ambao nyota zao zimeng'aa barani Africa kwa harakati zao za kupigania
haki,na demokrasia kwenye nchi zao bila kuchoka licha ya kupitia wakati mgumu lakini hawakukata...
Huko duniani ni kawaida kabisa Mtendaji Mkuu wa Shirika kama TRC kujiuzulu mara moja pale Treni inapopinduka kwa sababu ya uzembe unaoonekana kwa macho.
Nakumbuka Tanzania kuna waziri alijiuzulu...
imeshakuwa kama desturi kila mwaka kuripotiwa tukio la mwalimu kuchapwa 'viboko' ama kunaswa 'vibao' na wadau mbali mbali wa elimu wakiwemo maofisa elimu, walimu wakuu, watendaji mbali mbali wa...
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible...
Wandugu habari kwenu.
Huyu mwamba alituaminisha kwamba anaweza kupambana.
Akaenda kwa Zitto, Zitto akampa nafasi kubwa tu. Mshauri wa chama. Membe akateuliwa kuwa mgombea wa urais. Akaishia...
Nimeona clip ya Maalim Seif akianza ziara Pemba. Nimemuangalia usoni nimeusilikiza ujumbe wake na kwa yote anataka umoja wa Wazanzibari.
Lakini, nakumbuka wakati wa kampeni tulionyeshwa jopo la...
Katika kipindi hiki ambacho Tanzania tumeweza kuidhibiti Corona kwa kiwango cha lami au standard gauge. Sasa nadhani tuna haja ya kutoa misaada kwa nchi nyingine za Ulaya na Marekani katika...
Mnyukano wa kugombania madaraka ndani ya Chadema sasa umethibitika. Tayari Hilda Newton na Devotha Minja wameanza kukinyemelea kiti cha Halima Mdee Bawacha. Wanafanya kila mbinu kuhakikisha kwamba...
Kesho tarehe 14.10.2018, ni siku ya maadhimisho ya Kumbukizi ya kifo cha Mwalimu Nyerere. Kwa wale waoote waliomuishi Nyerere au hata ambao wanafahamu historia ya ukweli kabisa(un edited history)...
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara...
Ukiangalia mitandao ya kijamii unaweza kuzani Makonda hapendwi na hakubaliki kabisa katika jamii ,kumbe hizo ni harakati za Chadema tu mitandaoni na siyo jamii nzima.
Mtaani Makonda anakubalika...
Naam, wana JF pengine Halima Mdee anakaa lupango ili kulipia dhihaka alizowahi kumpa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndg.Mbatia mwaka 2010 wakati wa kugombea ubunge jimbo la Kawe.
Akiwa katika maeneo...
Dar es Salaam, The minister for Health, Community Development, Gender, Elderly and Children, Dr Dorothy Gwajima, yesterday said the government will issue an official statement on its stand...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.