Wazanzibar wanaongea kwa uhuru sana na Rais wao mpaka Raha. Tanzania bara mnakwama wapi?

SOPINTO

Senior Member
Oct 19, 2020
155
385
Ukiangalia mkutano unaoendelea baina ya Rais Hussein Mwinyi na watumishi wa sekta ya afya nchini Zanzibar unavutia sana yaani watumishi wapo huru sana kuongea na kujenga hoja, yaani wapo flexible with confidence mpaka Rais Mwinyi anaishia kucheka tu huku akitikisa kichwa ishara inayoonesha anakubaliana na hoja za watumishi.

Niseme tu wazanzibar sio wanafiki wapo wazi sana katika kuelezea jambo.
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
 
Well said
 
Kweli kabisa
 
acha uongo, Wazanzibar wengi akili yao imejijenga kimapinduzi hivyo hawaogopani.
 
Kikubwa 100% inachangiwa na imani yao,Ukimpata kiongozi Muislam mwenye kumuogopa M/Mungu mtaishi kama mbinguni na hata unafiki hauwezi kuwepo kama hao watumishi na kiongozi lzm awe msikivu maisha ya dunia huwa hayamuhadai muislam mwenye imani lkn ukija kwa ndugu zetu wa imani nyingine dunia inawahadaa wanapenda umungu mtu na hata ukirefer tawala zilizotawala nchi hii utajifunza kitu ktk tawala za kiislam.
Huyu aje awe Rais wa Muungano
 
Back
Top Bottom