kifupi kirefu
JF-Expert Member
- Oct 29, 2018
- 539
- 3,507
Barua zote za uteuzi za Rais wa Zanzibar zina kifungu Cha sheria au katiba kinachompa Rais mamlaka ya uteuzi.
Barua za Muungano zinakosa hiki kipengele muhimu sijui kwanini, naamini ipo haja ya kuiga wenzetu wanavyooandika.
Japo font, mpangilio wa haya barua za Msigwa zinavutia zaidi.
Mwisho, pamoja na katiba kutoa mamlaka baadhi ya nafasi zimetamkwa kwenye sheria za taasisi anayokwenda kusimamia mteule, kifungu Cha sheria kinachotoa mamlaka ni vyema kikainishwa pia.
Wapo wateule ambao hata kifungu Cha katiba na sheria kilichowafanya wateuliwe hawakijui....... na Hawa ndio wengi kwa taasisi za umma.