Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amemuagiza Kamanda wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) mkoa wa Ruvuma, Hamza Mwenda ahakikishe anawakamata viongozi wa AMCOS kwa tuhuma za kutoa...
1 Reactions
17 Replies
3K Views
Kauli hiyo ya kikakamavu imetolewa na Kangi Lugola ambaye ni Waziri wa mambo ya Ndani ya nchi, ambapo amedai kwamba ni uzembe usiohitaji msamaha wowote kwa Askari kuuawa na Majambazi na ameenda...
2 Reactions
24 Replies
4K Views
Naomba nieleze hili ambalo kwenye Moyo wangu siwezi kuliacha kamwe na sintolisahau katika mwaka uliopita linalohusu hospitali ya Mwananyamala. Mnamo Tarehe 30/12/2020 nilimsaidia majeruhi wa...
15 Reactions
71 Replies
8K Views
Naibu Waziri wa Maji, Mhe. Mhandisi Maryprisca Mahundi (MB) ametangaza kuivunja Bodi ya ya Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira ya Mji Mdogo wa Rujewa katika Wilaya ya Mbarali, mkoani Mbeya...
6 Reactions
24 Replies
5K Views
MAANDALIZI YA KUWASHA UMEME MAYENZI NA KATERERE Ninapenda kuwajulisha kuwa, Mkandarasi aliye pewa kazi ya kujenga mradi wa Umeme kwenye vijiji 21, na akawa amewasha umeme kwenye vijiji 7 tuu...
2 Reactions
5 Replies
1K Views
Hiyo ndio Kauli ya Tundu Lissu iwapo ikitokea ameshindwa kwenye Uchaguzi Mkuu mwezi October 2020. Tundu Lissu amepitishwa na CHADEMA kuwania Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa tiketi ya...
51 Reactions
641 Replies
54K Views
MAALIM Self Sharif Hamad, Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, ameeleza athari zinazotokana na siasa za mivutano. Akiwa kwenye ziara yake katika Wilaya ya Mkoani, Mkoa wa Kusini Pemba jana...
2 Reactions
27 Replies
4K Views
Baba Askofu salamu. Kwanza nakutakia heri ya Krismas na mwaka mpya. Ninakushukuru pia kwa ajili ya mahubiri/ maoni yako kuhusu mwaka 2020 kama yalivyochapishwa katika gazeti la Mwananchi...
8 Reactions
15 Replies
2K Views
Hivi Makamu wa Rais, Waombolezeaji wote waliopo hapo pamoja na Mama yako unadhani Wao hawana Sare zao za Vyama wanavyovishabikia ( kikiwemo cha CCM ) hadi Wewe ndiyo uvalie Shati la CCM peke yako...
8 Reactions
63 Replies
9K Views
WANAOCHAPA WATUMISHI WA UMMA BAKORA, WACHUNGUZWE Kwa Mkono wa, Robert Heriel Kuna baadhi ya viongozi wameamua kujidhalilisha na kudhalilisha taaluma ya uongozi kwa kufanya mambo ya hovyo ambayo...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Hivi karibuni kumekuwa na watu wenye fikra hasi kuelekea maendeleo ya kitaifa. 1. Ajali ya treni Bahi. Kuna Watanzania wenzetu wanaikuza habari na kukataa kuwa ni vifo vitatu tu, wanasema namba...
0 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwaheri 2020 karibu 2021 Awali ya yote tuna kila sababu ya Kumshukuru Mwenyenzi Mungu mwingi wa neema na Rehema.Mwaka 2020 umekuwa na changamoto lukuki,katika sekta zote,Kiuchumi,kiafya,kijamii...
5 Reactions
12 Replies
3K Views
Mimi nitoe neno kidogo juu ya hili la Mh. Naibu waziri ofisi ya waziri mkuu anayeshughulika watu wenye ulemavu,Mh.Ummy Nderiananga. Juzi Mh.Ummy akiwa na mkuu wa wilaya wa Kinondoni walifanya...
3 Reactions
22 Replies
2K Views
Rais Magufuli amewapongeza watoto wa baba wa taifa Makongoro na Madaraka kwa kuelewa demokrasia na kutolalamika baada ya uteuzi wa wagombea ubunge kufanywa. Dkt. Magufuli amesema Makongoro na...
6 Reactions
54 Replies
10K Views
Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu anayehughulikia watu wenye Ulemavu, Mhe.Ummy Ndeliananga akitembeza bakora kwa watu wanaohusika kuwaendesha watu wenye ulemavu kuomba FEDHA barabarani kwa maslahi...
13 Reactions
122 Replies
15K Views
Hili sakata la kutaka kufunga Hoteli ya Sugu huko Mbeya limeleta hisia nyingi. Lakini baya zaidi ni lile la the dark side ya watu fulani ndani ya Serikali. Serikali inaendeshwa na watu. Na...
21 Reactions
87 Replies
12K Views
Kwa wale ambao tumekuwa tunafuatilia mambo tunakumba jinsi Katibu mkuu wa Ccm alivyowahi kukiri hadharani kuwa Ccm ina tatizo la kuwa na ombwe la viongozi. Hii ina maanisha viongozi wa CCM wapo...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Wanabodi, Leo nimeamua kutembea kwa miguu kushuhudia yale watu waliyokuwa wanayasema hapa JF Nimeamua kutembea kama sehemu ya mazoezi baada ya kuona nimeongezeka zaidi kilo 10 tofauti na urefu...
1 Reactions
13 Replies
3K Views
Kudhalilisha mamlaka ya uteuzi ni kosa kubwa sana. Unakuwa na mkuu wa wilaya ambae anajua fika anamamlaka kisheria ya kukamata mtu akifanya kosa ndani ya wilaya yake. Sheria inatamka wazi...
15 Reactions
61 Replies
5K Views
Kenya imejiunga rasmi kwenye Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa kama Mwanachama asiye wa kudumu kwa kipindi cha miaka miwili ijayo, kuanzia Januari Mosi, nafasi inayotarajiwa kuwa muhimu kwa...
2 Reactions
28 Replies
3K Views
Back
Top Bottom