Maalim Seif Sharif ungewasikiliza viongozi wa dini!

MIGNON

JF-Expert Member
Nov 23, 2009
4,087
5,080
Nimeona clip ya Maalim Seif akianza ziara Pemba. Nimemuangalia usoni nimeusilikiza ujumbe wake na kwa yote anataka umoja wa Wazanzibari.

Lakini, nakumbuka wakati wa kampeni tulionyeshwa jopo la viongozi wa dini wakimtembelea Seif Sharif Hamad lakini pia hatukuonyeshwa jopo hilo likimtembelea mgombea wa CCM.

Naamini kuna ujumbe ambao Seif alipelekewa, naamini ulikuwa ujumbe mzito.

Siasa ni ngumu
 
Angewasikiliza katika kitu gani?

Viongoz wa Dini gani?

KWA heshima gani walinayo??
 
Angewasikiliza katika kitu gani?
Viongoz wa Dini gani?
KWA heshima gani walinayo??
Twende taratibu,
  1. Ujumbe wa viongozi wa dini mbalimbali ulimtembelea Seif Sharif wakati wa kampeni
  2. Ujumbe huo haukumtembelea mgmbea wa CCM (??)
  3. Uchaguzi umepita na mauzauza yote
  4. Seif anarudi kwa wale waliompigia makofi aliposema "Wasituletee "u***thi" akiwahimiza umoja
 
Maalim Seif kajiuza kirahisi mno. Hana mvuto tena. Anapata sasa pesa za kunyoa ndevu.
 
Back
Top Bottom