Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 15,997
Naam, wana JF pengine Halima Mdee anakaa lupango ili kulipia dhihaka alizowahi kumpa Mwenyekiti wa NCCR-Mageuzi Ndg.Mbatia mwaka 2010 wakati wa kugombea ubunge jimbo la Kawe.
Akiwa katika maeneo ya Wazo hii,Halima aling'oa bendera za NCCR-Mageuzi na kusimika za Chadema na kutoa onyo kwa Mbatia kwa kumwambia ''mimi sikuogopi,ninaweza kukuoa'' hali hii ilsababisha Mbatia kumfungulia Halima Mdee kesi ya udhalilishaji baada ya uchaguzi.
Naam, yawezekana kabisa wakati umefika sasa wa Halima Mdee kujitafakari upya na kuwa na staha katika matamshi yake.