The Boss
JF-Expert Member
- Aug 18, 2009
- 49,320
- 117,672
Maswala ya uchumi duniani kote Yana kanuni zake, ukitaka kuharibu uchumi basi anza kupeleka mambo kipolisi polisi. Mara kodi hazieleweki.
Mara account zimekuwa freeze za wafanyabiashara.
Mara Kodi mpya hadi za wanaofuga kuku wawili majumbani.
Mara hiki mara kile.
Mazingira yakishaanza tu kuwa 'unpredictable' kinachofata watu hukimbia na pesa zao.
Wengine watakaa nazo majumbani wakiona hata Bank hakuna usalama. Wengine wataacha kuanzisha biashara mpya wakihofia Hali hii ya kutotabirika.
Wengine wata wekeza nchi za nje na nchi jirani, mwisho wa siku uchumi utaporomoka tu.
Cha kushangaza Tanzania tuliwahi fanya haya makosa sana wakati wa Nyerere. Why yanajirudia?
Washauri wanafanya kusudi Rais achukiwe apewe lawama?