Asilimia kubwa ya Watawala wetu hawa amini Mawazo ya wadau bali mawazo na Ushauri wa waganga wa Kienyeji!!
Ukweli ni kwamba hapa tulipofikia hata mtu wa Kawaida anaweza kusitisha Bunge la Kabina...
Ally Kessy mbunge(CCM)akitoa taarifa kwa Naibu Spika kuhusiana na serikali kupata hasara ya Tsh 4.9Bilion za kutotumia dawa zilizoagizwa na kuisha muda.
Kawalamu mawaziri na serikali kwa ujumla...
BABA MTU ANASEMA TUKIKUANGALIA SURA TUSEME HUYU NAYE KWELI ANAPINGA RUSHWA NA UFISADI KWELI
Je Wewe Ni Mla Rushwa Wewe Kweli?
Je Wewe ni Fisadi Wa Nchi Kweli?
KAULI YA JANA TAREHE...
KATIKA UCHAGUZI MKUU HUU TUSIRUHUSU MAFISADI WALICHEZEE TAIFA Edward Lowassa ni balaa kwa Taifa! Democratic Party (DP) inatarajia kufikisha Mahakamani chama cha CCM pamoja na wanachama wake sita...
Salaam Wakuu,
Leo 04/01/2021 Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini IGP Simon Sirro, anazungumza na waandishi wa habari baada ya kikao kazi na askari wa Kikosi cha usalama barabarani wa mikoa ya Kanda...
Pamoja na kwamba ukuaji na ueneaji wa Magodown ni ishara ya ukuaji wa shughuli za kiuchumi na uongezekaji wa vipato na ukusanyaji kodi kwa Serikali lakini usiporatibiwa vizuri unaweza kuleta ugumu...
Biblia inaonya ashupazae shingo ikivunjika haitapona tena.
Sawa hatukuweka lockdown tukavuka ila sio chanjo, hili sio swala la kidola ni suala la dunia (WHO) linasimamiwa na dunia na mataifa...
Hakuna mtu muelewa na mpenda haki asiyetambua kwamba Serikali imefanya ukatili wa Hali ya juu kwa kitendo cha kuondoa fao la kujitoa katika mifuko ya hifadhi ya jamii.
Ipo idadi kubwa sana ya...
Waziri wa mambo ya nje Prof. Kabudi amehudhuria hafla ya uzinduzi wa ripoti ya Building Bridge Initiatives (BBI) nchini Kenya ambayo imehudhuriwa na viongozi wote wakuu wa Jamhuri ya Kenya...
Wanabodi,
Ukizingatia changamoto tulizo kuwa nazo ni vyema kuona kwamba tumevuka mwaka 2020 salama.
Kitu ambacho ningependa kujadili na wenzangu leo ni hali ambayo imekuwa ikijitokeza na...
Mhe. Halima Mdee na wenzake wakiwa katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge, Job Ndugai, baada ya kula kiapo hivi karibuni.
"Sasa ni wazi kwamba, mimi na wabunge wenzangu 18, tulionyanganywa...
Akitoa salamu za Mwaka mpya wa 2021 kwa wananchi wa Tanzania, Mh Lissu ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa Chadema , ametoa mwongozo wa kudai Tume huru ya uchaguzi kuanzia sasa, amesema kwa hali ilivyo...
Mwenyekiti wa CHADEMA Mhe. Freeman Mbowe leo Jumapili, Januari 3, 2021, atazungumza na Watanzania kupitia hotuba atakayoitoa kwa Taifa na kurushwa moja kwa moja kupitia mitandao ya kijamii...
Na Mwandishi Wetu
Barabara ya Himo-Kilema ijulikanayo kama barabara ya Nyerere ni moja kati ya barabara muhimu katika jimbo la Vunjo kwani inahudumia taasisi takribani 30 za kijamii na yenye...
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni mh Chongolo amesema wale wote waliokamatwa katika zoezi la kukamata wanaowatumikisha walemavu wametenda kosa la jinai.
Chongolo amesema wahusika wa miradi hii...
Ni swali ambalo mtu kwa haraka unaweza kudhania ni swali ambalo halina logic. Lakini kiuhalisia hili ni swali la msingi ambalo wachumi wanaoishauri serikali walipaswa kujiuliza kabla ya kushauri...
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Jamhun ya Muungano wa Tanzama, Mhe. Dkt. John Pombe Magufuli amemteua Dkt. John Stanslaus Ndunguru kiwa Mwenvekit wa Bodi va Mamlaka ya Udhibiti wa Usafin wa...
TAARIFA ZA AWALI:
Wakuu,
Usiku wa kuamkia leo mwanaharakati huyu wa PAMS Foundation ya Jijini Arusha ameuawa vibaya kwa kupigwa risasi.
Inadaiwa gari lake lilikuwa blocked na akamiminiwa risasi...
Kama kuna kipindi ambacho taifa la watanzania limeshudia mambo ya ajabu basi ni hiki kipingi cha awamu ya tano
Kumekuwa na utendaji kazi ambao umeshangaza sana watu.Wasimamizi wa sheria wamegeuka...
Mbona huu utawala wa awamu ya tano umegubikwa na mambo ya ajabu sana? Mbona tunaliabisha taifa letu?
Kama mtu ana hatia kwa nini asipelekwe mahakamani?
Sheria za hii nchi zipo wazi kuwa mtu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.