JAMES Mbatia, Mwenyekiti wa Chama cha NCCR-Mageuzi amesema, uchaguzi mkuu uliofanyika Oktoba 2020, umelivua nguo Taifa. Anaandika Yusuph Katimba, Dar es Salaam…(endelea).
Katika waraka wake wa...
Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa mstaafu, kachero mbobezi na Mwanadiplomasia mahiri Bernard Kamillius Membe tarehe Mosi January, 2021 ataongea na dunia kijijini kwake Rondo...
Heri ya Mwaka 2021!
Nimetafakari mengi juu ya mwelekeo kiafya katika bara la Africa na changamoto za tafiti pamoja utegemezi wetu kwenye tafiti na ufumbuzi wa matatizo ya Kiafya nje ya Africa...
Na:
Mwesa, C.W
DODOMA.
31.12.2020
Ndugu watanzania wenzangu na wanachama wenzangu wa chama pendwa cha watanzania wote na Afrika kwa jumla, Chama Cha Mapinduzi (CCM). Kwa hakika tunayo mambo mengi...
Kwa mujibu wa Gazeti la Habari Leo toleo la tarehe 8 January 2020 lilitoa taarifa juu ya uhujumu wa miundombinu ya Reli.
Kamanda wa Polisi wa kikosi cha Reli Stanley Kulyamo alithibitisha uwepo...
Maskini katika nchi yetu akihisiwa kutenda kosa au akituhumiwa kutenda kosa viongozi uchukua vyombo vya habari na Polisi kisha kuwachapa adharani. Matukio haya yamefanywa kwa waalimu, mafundi...
Salaam Wakuu,
Leo Mgombea urais wa Tanzania kupitia Chama cha ACT Wazalendo, Ndugu Bernard Membe anaongea na Wahariri wa Vyombo vya habari Jijini Dar.
Nipo hapa City Lodge Mjini kati kusikiliza...
Kwa tuliobahatika kuushudia utawala wa mwl JKN ni wazi kabisa kuwa ni mashuhuda kuwa tuliishi maisha yasiyo na stress
Kuanzia shule ya msingi mpaka Chuo Kikuu ilikuwa ni bure, huduma za afya...
Katika Manispaa ambazo zilikumbwa na ubadhilifu mkubwa wa pesa za umma na kukosekana kwa systematic audit Manispaa ya Ilala iliongoza kwa kipinding kwa zaidi ya miaka kumi.
Hiii ilitokana na kuwa...
Mkiwazuia hao mtetezi wetu atakuwa nani kule bungeni?
Muendelee kupigania haki za waliodhurumiwa wakati waliopewa haki wakiendelea kutuwakilisha, vinginevyo sisi tutakuwa wakiwa hatutakuwa na...
Watanzania,
Salaam nyingi kwenu. Ninawapenda.
Mimi ni mtanzania ninayetokea mkoa wa Tanga. Leo ninataka kuongea na ninyi kuhusu Tanga. Wapo wasiojua, Ila wapo wanaoujua Ila wameamua kupotosha...
Kwa siku za hivi karibuni, hospital ya Dar Group (T.O.H.S) imekuwa na mgogoro na wafanyakazi wake, hali inayopelekea mzoroto wa huduma za afya katika hospitali hiyo iliyopo eneo la Tazara ikiwa...
Upinzani ni spirit ambayo kamwe haijawahi kuuawa kwa kuwateka wapinzani, kuwatesa, kuwafunga kwa makosa ya kubambikiza etc.
Njia rahisi ya kuua upinzani ni kupitia upendo na kuwaridhisha watu...
Ni kwenye trading session ya jana 28.12.2020 Dar es salaam stock exchange, sijajua kama NMB wame buy back au kuna local investor amenunua, au zimebadilisha ownership kwa foreign investor mwenzao...
Ndugu zangu kuna tofauti kubwa kati ya amani ya kisiasa na amani ya Mungu.
Amani ya kisiasa inapatikana kwa kufuata sheria zilizomo ndani ya katiba ya nchi.
Wakati Amani ya Mungu inapatikana...
Rais Wa Zanzibar Mh Hussein Ali Mwinyi amefanya mabadiliko katika uteuzi wa wakuu wa wilaya alioufanya tar 28 Mwezi uliopita
Soma zaidi>> Uteuzi Zanzibar: Rais Mwinyi ateua Wakuu wa Wilaya
Nimemsikia Waziri Mkuu Mh Majaliwa akiwaagiza Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU na Mkurugenzi wa Makosa ya Jinai kufanya uchunguzi kwenye bandari zote nchini.
Bandari hizo ni Mwanza, Kyela, Tanga...
Wakuu Kila la heri na mwaka mpya 2021
Niende kwenye mada moja kwa moja, kwanza niweke wazi mlengo wangu binafsi wa kisiasa, mimi naamini kwenye siasa za mageuzi za upinzani na kiukweli...
Nimejaribu kuangalia mwenendo wa nchi kwa sasa baada ya uchaguzi mkuu uliohujumiwa wa 2020.
Kikubwa ambacho kama nchi tutakuja kukijutia na "kitengo" watajua kuwa hawajui ni kwa kuingilia...
Kwa kufikia lengo la asilimia 101 la tr. 2.08 ninaamini kuwa kuna uwezekano wa kufikia lengo la tr. 3.5 iwapo tu mambo yafuatayo yatazingatiwa:
1. Rais alikwisha sema kwa TRA kupanua wigo wa kodi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.