Kwa hii picha, Dodoma itakuwa kama Kigali ndani ya miaka miwili

Kawe Alumni

JF-Expert Member
Mar 20, 2019
8,685
11,988
20200622_233636.jpg


Asante Magufuli umejua kuwatumikia Watanzania
October tutakupa kura zote
 
Ndugu yangu usidanganyike na Propaganda za Kagame, Dodoma mwenzake ni Abuja ndio tuna Plan moja na tulipopanga kuhama Dar na wao walipanga kuhama Lagos. Wataalam wetu na wao wakaenda Sydney kujifunza bahati mbaya sisi tukakwama
 
Back
Top Bottom