BANDARI ya Nyamirembe, Wilaya ya Chato mkoani Geita, inatarajiwa kukamilika Agosti 23, mwaka huu.
Mradi wa ujenzi huo uliogharimu Sh bilioni 4.1 ambazo ni fedha za serikali, unajengwa na...
Duka la MSD tayari limefunguliwa chato wakati halipo Katoro wala Geita...
Uwanja Wa ndege unaendelea kujengwa Wa kiwango cha kimataifa pale chato..
Shule ya kisasa kama fadhila pale rais...
Naomba kuuliza,
Kiongozi kutumia fedha za umma kujenga miradi mingi ya maendeleo nyumbani kwao kijijini maana yake ni nini?
1) Uzalendo
2) Ubinafsi
3) Matumizi mabaya ya Madaraka
4) Ushamba
5)...
TAASISI ILIYORASIMISHWA KUWATAPELI WANYONGE
Bodi ya Mikopo imewanufaisha watanzania wengi sana ikiwa ni pamoja na kuwajengea watanzania misingi ya kielimu kwa ajili ya future katika maisha yao ...
Wana jf
Mwanzoni watu walilalama sana uamuzi wa serikali kuuza nyumba zake, hii imeleta matokeo chanya na faida nyingi.
Kwanza imewaondolea watumishi wa umma hadha ya kufukuzwa katika nyumba...
Geita haijaumbwa ili iwe mashimo baada ya kuchimba madini bali inastahili maendeleo kama mikoa mingine.
Nimeona niseme hili maana ujenzi wa kimaendeleo wa uwanja wa ndege na hospitali ya Rufaa...
Salaam Wana JF,
Leo ni tarehe 12, January siku ambayo tunakumbuka historia ya Mapinduzi Matukufu yaliyofanyika huko visiwani Zanzibar mwaka 1964, kuna historia ndefu Juu ya mapinduzi haya, Andiko...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi amesema serikali inatambua ukubwa wa tatizo la ajira linalowakabili vijana na tayari imeanza kuchukua hatua kutekeleza ahadi zilizotolewa wakati wa kampeni za...
Kuna vitu hapo awali nilikuwa sielewi kabisa, kuna wakati wanasiasa halisia walikuwa wanakosea kabisa na hata mtoto ukimuuliza anakwambia kuwa hilo ni kosa lakini wanasiasa wa mtandao walikuwa...
Mfungwa wa kisiasa Kamanda Mdude Nyagali leo ametimiza siku 244 Jela ambako amewekwa kwa kesi isiyo na dhamana
Kwa mara ya kwanza alishitakiwa kwa makosa ya Uhujumu uchumi lakini baada ya...
KILIO CHA WAALIMU NCHINI TANZANIA!
Nimepokea waraka kutoka kwa mmoja wa waalimu akiwawakilisha waalimu wenzake. Kwa sababu za unyeti wa maudhui ya waraka huo, kiapo changu cha Uaskofu...
WanaJF, Salaam!
Nimefuatilia kwa takriban miaka sita (6) hivi humu kwenye jamvi huru la siasa. Ukijitokeza kusifia, kuunga mkono jitihada za Serikali inapofanya jambo zuri i.e Ujenzi wa vivuko...
Rais Nyusi atatembelea Tanzania kwa ziara rasmi ya Kiserikali kuanziaa tarehe 11-12 Januari 2021
Mgeni huyo muhimu atawasili nchini kupitia uwanja wa ndege wa kisasa wa Chato, Mkoani Geita na...
Salaam kwenu heshima mbele!
Naamini lengo JK lilikuwa zuri kuigawa Wilaya ya Bagamoyo na kujenga bandari ili Bagamoyo iwe Port City. Hakuna vijiji wala nini; sasa kilichotokea wilaya imeisha...
Waziri wa Mambo ya Ndani, George Simbachawene ameagiza kukamatwa kwa askari watano katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) kutokana na kushiriki matukio ya kihalifu.
Agizo...
Heri ya Sikukuu ya Krismasi ndugu zangu?
Naona ipo haja ya kuwa na hotuba ya Rais kwa Taifa kabla ya kufunga mwaka 2020.
Hata akitoa Salamu za Mwaka Mpya nayo sio mbaya.
Hii itamuwezesha...
TANZANIA NA CHINA YASAINI MKATABA WA KUJENGA RELI YA KISASA (MWANZA-ISAKA)
Serikali ya Tanzania na China vimeingia makubaliano ya kujenga reli ya kisasa ya Kilometa 341 kutoka Mwanza hadi Isaka...
Tukubali sheria ya Bodi ya Mikopo inayoruhusu makato ya asilimia 15 ya mshahara ghafi wa mtu aliepewa huu mkopo(Siwezi kumuita mnufaika wa huu mkopo maana ni kutiana umasikini) pamoja na tozo ya...
Mbunge wa Jimbo wa Jimbo la Mlimba, Godwin Kunambi amemaliza changamoto ya Umeme, Maji na Choo katika Soko la Chita jimboni humo baada ya kutoa Sh Milioni 1.5.
Mbunge wetu wa Mpwapwa unaona...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.