Hii ni tweet alioiandika siku ya jana:
Nothing can remedy the suffering of the Tanzanian people who were injured or killed or arrested during the recent election. I want to thank Utibe Ntekim and...
Amani iwe nanyi wadau
Leo nimeona taarifa Azam Tv, waziri wa Ardhi akiongelea suala la watendaji wa kata/ serikali za mitaa kupewa mamlaka ya kusimamia ardhi/ makazi.
Suala hili wana JF humu...
Mheshimiwa Rais tumehangaika mapaka tumeona tukuandikie kupitia jukwaa hili utusaidie sisi wanyonge wa kijiji cha Igingilanyi ambao tumetakiwa kuhama ili kupisha upanuzi wa uwanja wa ndege wa...
Ndugu zangu,
Kwa muda mrefu sasa ndugu Tundu Lissu ama yeye mwenyewe au wapambe wake amekuwa akivimisha mambo yasiyowezekana ili mradi kuwapa wafuasi wa CHADEMA ambao kimsingi uelewa wao wa mambo...
Tundu Antiphas Mughwai Lissu ameanza kupasua mawimbi katika anga za kimataifa. Majuzi alikua BBC Swahili, kisha akaalikwa kwenye kipindi chenye heshima sana duniani cha BBC HardTalk. Inakadiriwa...
Kumekuwa na kelele nyingi zinazohusu utekelezaji wa miradi mbalimbali ya maendeleo inayotekelezwa Nchini, awali vigezo vya kupingwa maendeleo ilikuwa "SERIKALI INAFANYA MIRADI ISIYOSAIDIA WATU...
Waziri wa maliasili na utalii Dkt. Damas Ndumbaro leo January 12 akizindua jengo la utalii wa mashamba ya misitu Biharamulo-Chato ameiagiza bodi ya utalii nchini kuhaakikisha kuwa inapeleka...
Na Mwananzengo wa Chato.
Tarehe 09 Januari, 1967 Hayati Baba wa Taifa Mwl. Julius Kambarage Nyerere akiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania alifanya ziara Chato katika Mkoa wa West Lake...
Wana jf heshima zenu zote nilishamkabidhi mungu bila kujali, dini, chama au umri.
Mheza kama waenda Tanga mjini ipo sehemu yaitwa TANGANYIKA kabla ya kufika MKANYAGENI, na kabla ya kufika...
WanaJF,
Hongereni na usiku wa mapinduzi ya Zanzibar. Na naenda kwenye mada moja kwa moja.
Kumekuwepo na maoni mengi sana siku za karibuni kuhusu uwekezaji au miondombinu inayojengwa wilayani...
Ninawasalimu ndugu kwa Jina lile lipitalo Majina yote.
Mada yangu ni kuhusu ujenzi wa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Msalato Dodoma ambao Serikali ilijinasibu kuujenga tangu Rais Magufuli...
(Pichani kitabu kikianza kupatikana kwa Wabunge, Dodoma)
UPDATE:
Kuna watu wanaulizia jinsi ya kupata nakala ya kitabu cha "Nyuma ya Pazia" cha Balozi Dkt. Wilbrod Slaa. Sasa kinaweza kupatikana...
Chama cha Mapinduzi (CCM) katika Mkoa wa Iringa kimeweka utaratibu mpya wa kupima utendaji wa wabunge na madiwani wake wote unaotaka kila mmoja kutoa taarifa yake ya kazi zake kwa wananchi kila...
Kama kuna wakati CHADEMA inapitia wakati mgumu basi ni hiki kipindi ambapo ipo njia panda labda iwafukuze wabunge 19 wanawake ambao wao wanaona ni waasi au iwasamahe na kisha kuruhusu waendelee...
PAN AFRICANIST,MAPINDUZI YA ZANZIBAR,MUUNGANO WA TANZANIA KUELEKEA MUUNGANO WA AFRIKA.
Leo 13:00hrs 12/01/2021
Pan Afrikanist,Mwalimu Julius Nyerere, aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanganyika,na...
HOSPITALI ya Benjamin Mkapa (BMH) ya jijini Dodoma leo inazindua kitengo kitakachotibu magonjwa yanayohusiana na mfumo wa njia ya mkojo na pia kitashughulikia upasuaji wa tezi dume.
Katika...
Wakuu habarini,
Kuna vituko sana hii nchi mpaka unaweza kuchanganyikiwa.
Katika hospitali ya MISASI iliyoko wilayani Misungwi, Mkoa wa Mwanza.
Kuna tabia ya waganga/wauguzi kuwaambia wagonjwa...
Wanabodi heshima kwenu!
Taarifa zilizonifikia kutoka chanzo ninachokiamini ni kwamba ziara za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa mikoani pamoja na mambo mengine anazitumia kujiweka sawa kwa ajili ya...
2021 ndio tushaingia na 2025 haiko mbali sana ambapo Mkulu wa sasa atakuwa anakabidhi kijiti kwa ajae. Je tutakuwa tumefika na lengo la Mkulu la kujenga uchumi wa kati kwa kutumia viwanda na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.