Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Msigwa, hii si kweli, Chato hakuna Ikulu. Hapo ni nyumbani kwa Magufuli. Barua yako hii chini is misleading! Anywaya, usije kulamba kikombe cha Ndugulile.
17 Reactions
205 Replies
25K Views
Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Innocent Bashungwa amewataka wamiliki wa vyombo vya habari na waandishi wa habari kuhakikisha wanajipanga ili kuendana na matwaka ya Sheria ya Huduma...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Hili ni swali tu ndugu zangu , wala halina uhusiano na jambo lingine lolote . Ieleweke kwamba Mkoa wa DSM kama ilivyo mikoa mingine umeishaongozwa na Wakuu tofauti tofauti wa Mkoa , kwa uchache...
2 Reactions
349 Replies
39K Views
Kesi nyingi za uhujumu uchumi Tanzania utasikia uchunguzi haujakamilika, na hii inachukua miaka kadhaa. Ila katika mazingira ya uchunguzi kuendelea mtu yuleyule unasikia ameshauriana na DPP au...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
ICC WAPO KIKAZI KWELI. Asante Sana Mahakama ya Kimataifa-ICC kwa mwongozo mlionipa baada ya kuwatumia malalamiko yangu juu ya Rais kuvunja KATIBA na Mateso niliyoyapata gerezani. Nafanyia...
10 Reactions
27 Replies
5K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Profesa Joyce Ndalichako amekagua mradi wa ujenzi wa Chuo kipya cha Mafunzo ya Ufundi Stadi na Huduma (VETA) katika Mkoa wa Kagera. Profesa Ndalichako...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Moja kwa moja kwenye pointi ni kwamba kama kuna wanasiasa waliosingiziwa sana kwa habari za uongo nchi hii basi ni Kawawa rip wakati wa chama kimoja na mzee Lowassa na Ridhiwani Kikwete wakati wa...
2 Reactions
39 Replies
5K Views
Jamani imefikia wakati kama Watanzania tunatakiwa tubadilike. Kupokea msaada wa milioni 380 ni aibu kwa taifa tajiri kama hili. Milioni 380 iliyotolewa na waziri wa Mambo ya nje wa China ni...
71 Reactions
148 Replies
57K Views
Nijuavyo CHADEMA chenye ofisi za makao makuu pale Kinondoni uswahilini mtaa wa Ufipa hawana ukwasi wa kuweza kumlipa huyo Wakili Robert Amsterdam wa ubeberuni. Je, ni nani hasa anayemlipa Robert...
13 Reactions
142 Replies
15K Views
Benki ya Dunia imeboresha tathmini yake ya matarajio ya ukuaji wa uchumi wa Tanzania mwaka 2021 wakati ulimwengu unapoanza kupata nafuu kutokana na athari za janga la Covid-19. Taasisi ya Bretton...
5 Reactions
16 Replies
3K Views
Kabla ya kwenda moja kwa moja napenda kuweka wazi kuwa mimi ni mtu ambaye sipendi kuona watu wakionewa na hasa kunyimwa haki zao za msingi. Kumekuwepo na dhana potofu hapa Tanzania kuwa kila mtu...
3 Reactions
40 Replies
5K Views
Kwa maelezo ya Raisi Magufuli mwenyewe Tanzania imelipa kampuzi za China $10B kwa miaka 10 iliyopita! hii ni wastani wa $1B kwa mwaka. Hii inashutusha kwa jinsi tunavyotoa wahandisi kwenye vyuo...
4 Reactions
35 Replies
9K Views
Sarah Cooke: Good to hear he has been found. I hope there will be an investigation into what happened. Ameandika ujumbe huo kupitia mtndao wa twitter kujibu tweet ya Maria Sarungi iliyokuwa...
10 Reactions
28 Replies
5K Views
Watanzania tunafaa kuonesha uzalendo kwa kumpigia kura Rais wetu ashinde kwa kishindo katika kinyanyanyiro hiki cha kiongozi wa kisiasa wa Afrika wa mwaka. Rais Magufuli anashindanishwa na Marais...
23 Reactions
895 Replies
76K Views
UCHUMI WA TANZANIA KUWA KAMA CHINA IFIKAPO 2050 KAMA TUTAPATA MAGUFULI WENGINE WATATU BAADA YA 2025. Leo 13:15pm,28/07/2019. Kimsingi umaskini wa Tanzania ni umaskini wa kipato,ila takwimu...
9 Reactions
36 Replies
4K Views
Jana kwenye Taarifa ya habari ITV Saa mbili usiku iliwaonyesha wafanyabiashara wa Geita wakilalamika soko la Ngozi kushuka bei kwa kiasi kikubwa sana toka Tsh. 1,400 hadi Tsh.400. Kushuka kwa bei...
7 Reactions
17 Replies
3K Views
Halafu tunapiga miaka kumi mingine kwa Magufuli ili kujipanga kufanya Uchaguzi tukiwa kama Tanganyika. Wapinzani mtafanya nini ,tumewapima Uchaguzi uliofanyika hamna kitu. Yaani yale majigambo...
-1 Reactions
22 Replies
3K Views
Huyu bwana ukimfuatilia vizuri, ni wazi amekuwa ni zaidi ya wakili kwani anakuwa pia ni kama mwanaharakati wa kupigania haki za binadamu hasa katika mataifa yanayoongozwa na watawala...
29 Reactions
155 Replies
13K Views
Wakuu natumaini kuwa hamjambo na mnaendelea na shughuli zenu kama kawaida. Naomba niende kwenye hoja yangu. Wahenga walisema Muda ni mwalimu mzuri, Bwana huyu anayeitwa Tundu Lissu baada ya...
7 Reactions
59 Replies
5K Views
Mkuu wa Mkoa wa Mbeya, Albert Chalamila, ametoa siku 6 kwa Wafugaji Wilayani Mbarali kuondoa Mifugo katika Hifadhi ya Bonde la Ihefu na Ruaha kabla hawajachukuliwa hatua kali Amesisitiza "Nimetoa...
6 Reactions
50 Replies
5K Views
Back
Top Bottom