Ndugu zangu kheri ya Mwaka mpya?
Walimwengu wanafuatilia kwa ukaribu sana uchaguzi wa Marekani na their transfer of power, sasa najiuliza vipi hali hii iliyofanywa na wafuasi wa Trump Jana...
Baada ya Nyerere kufanya makosa ya kutojiandaa na maisha baaada ya kustaafu, waliomfuata walianza kujitengenezea maisha ya kustaafu katika awamu zao za pili. Suala hili halijawai kubadilika tangu...
"Kiongozi mmoja kwenye salamu za mwaka mpya alitamka kwamba CCM inaiba kura. Ni uongo na si uungwana. CCM haiwezi kuiba kura, ni chama cha watu, kina rekodi ya uongozi, kinakubalika na kina...
Jamani jamani jamani, msitufanye tuanze kumuelewa sasa mzee wa miga convection featuring na braza Amsterdam kuwa walikuwa sawa.
Mkulima sasa hivi anapigania angalau alime ,leo hii unataka atoe...
China katika kipindi ilichokuwa inatakeleza mkakati wake wa maendeleo makubwa ( economic trajectory and critical mass investment in infrastructures) imekuwa inaendelea kuchukua tahadhari kubwa...
Yaani sasa imekuwa kawaida jambo dogo mnakimbilia vyombo vya habari, tuambieni jambo moja mliloliendea kwenye vyombo vya habari na kuwaletea faida, moja tu.
Siasa sio kwenye vyombo vya habari...
Ni kuangukua kwa uchumi wa mabeberu na kuimarika uchumi wa wajamaa ,iko hivi
Ripoti ya kituo cha kitafiti cha uchumi wa dunia CEBR chenye makao yake makuu jijini London iliyochapishwa na BBC...
Leo kutoka ofisi za chama cha mapinduzi Lumumba jijini Dar es Salaam, Katibu mwenezi wa chama cha mapinduzi, Humphrey Polepole anaongea kuhusu mambo yaliyojadiliwa kwenye kikao cha kamati kuu...
Kwanza nawatakia ninyi nyote Dominica yenye baraka.
China ni marafiki zetu kama taifa tangia tulipojinasua kwenye makucha kandamizi ya wakoloni waliotunyonya na kututesa sana huku wakipora...
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongela ameamuru kukamatwa kwa Mkurugenzi wa Halmashauri ya Sengerema, Boniface Magesa pamoja na Afisa Ardhi wake wakituhumiwa kutoa taarifa za uongo kwa Mkuu wa...
Najiuliza tu, Maandamano na kesi zote wanafungua zinahusiana na wao kushika madaraka. Mbona hawaandamani serikali ikifungia wakulima mipaka, mbona hawaendi mahakamani kupinga sheria za kodi etc...
Najiuliza tu kwa kuwa wakati wa kampeni tuliambiwa katika maeneo mengi ilani ya CCM imetekelezwa kwa 100% na maeneo machache kwa zaidi ya 95% inakuwaje tumbua tumbua iendelee kwa kasi kubwa?
Kwa...
Mimi ni mfatiliaji mzuri wa Kipindi cha Mhe. Polepole chenye jina la Papo kwa Papo!
Kumekuwa na tabia ya baadhi ya Viongozi kutokupatikana kwenye simu! Na hii ndio picha iliyopo kwenye Jamii...
Wanabodi heshima mbele.
Tunakumbuka wakati Rais wa awamu ya tatu Mh. Ben Mkapa alipokuwa akitoka madarakani aliondoka akiwa kifua mbele akijivunia mafanikio aliyokuwa amefikia.
Mh. Mkapa...
Hao ni baadhi ya viongozi ambao sitamani tena kuwa mfano wa kuigwa kwangu tena katika maisha ya kisiasa na maisha kwa ujumla.
Nikiangalia heshima waliojijengea na waliyojengewa katika utumishi...
Kwenu wasomaji...
Nimefuatilia mara kadhaa hotuba za Mh Jafo katika hadhara na mbalimbali na nimeona ni mtu sahihi anayetufaa kwa Uraisi ili tuweze kutoka hapa tulipo kwenda kwingine....
Anapanga...
Baada ya wajumbe wa kura za maoni kuwakataa kwenye sanduku Waliowahi kuwa wanasiasa waandamizi na kitaaluma wasomi wanataaluma na wahadhiri waandamizi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam watakuwa...
Kichwa cha habari chajieleza.
Ukweli ni kuwa hakuna tutachoambulia zaidi ya wabunge viti maalumu wapatao 19.
Kubaki tunapiga kelele kuwa uchaguzi ulivurugwa haiwezi kutusaidia.
Kilichobaki...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.