2021 ndio tushaingia na 2025 haiko mbali sana ambapo Mkulu wa sasa atakuwa anakabidhi kijiti kwa ajae. Je tutakuwa tumefika na lengo la Mkulu la kujenga uchumi wa kati kwa kutumia viwanda na...
Ndugu wanajukwaa wote mnajua kabisa katikati ya nchi yetu ni wilayani Manyoni mkoani Singida na tena Singida ni njiapanda ya majiji Kama Mwanza, Arusha, Mbeya na Dodoma hivyo ilipaswa itengenezwe...
Serikali yakwama mahakama kuu uchaguzi wa madiwani
Na Nora Damian
MAHAKAMA Kuu Kanda ya Dar es Salaam imetupilia mbali ombi la serikali la kuomba mahakama hiyo isisikilize ombi lililowasilishwa...
Ndugu zangu,
Kuanzia mwaka 2005 kulizuka wimbi la vijana kuingia kwenye harakati za kisiasa hususani waliomaliza vyuo ambao walikuwa wameajiriwa serikalini na sekta binafsi.Baadhi yao walikuwa...
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Ummy Mwalimu ametoa onyo kwa wataalamu elekezi wasio waaminifu kwa wawekezaji na wafanyabiashara kwani wamekuwa wakirudisha nyuma...
Kwa wale tunaofanya kazi sekta Binafsi tunafahamu ni kwa kiasi gani sheria hii inatumika Kama kitanzi katika maisha yetu kwani wengi wetu hatuna mikataba ya kudumu hivyo Ni wachache wenye uhakika...
Mkuu wa Wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya amewapa siku tatu maafisa utumishi wilayani humo kuhakikisha wanatatua changamoto za waalimu wapatao 105 wanaodai malimbikizo ya fedha zao.
Aidha...
Serikali ya Tanzania itajenga Hospitali ya Rufaa wilayani Chato Mkoa wa Geita.
Akiwasilisha taarifa yake kwa Kamati ya Bunge ya Huduma za Jamii leo Jumatatu Januari 20, 2020, Waziri wa Afya...
Nauliza tu maana naona wanaojiita wakimbizi wa kisiasa wakiendelea kujihusisha na masuala ya nchi yetu. Sheria inayohusu masuala ya wakimbizi inasemaje?
Awali ya yote poleni sana na majukumu ya kuijenga mama Tanzania.
Ombi langu na ni kuhusu vijiji na vitongoji vingi vya Same Mashariki kutokua na umeme mfano mimi natokea kata ya Lugulu, kata hii...
Naangalia mapokezi ya rais wa Msumbiji Felipe Nyusi pamoja na viongozi na wanahabari alioandamana nao wote wamevaa barakoa pamoja na hayo pia salamu zao si za kushikana mikono.
Siku chache...
Juzi nilikuwa mpaka wa Kenya na Tanzania eneo la Sirari, nilitokea Arusha nikapita Serengeti, Nyamongo, Nyamwaga hadi Sirari, njiani nilikuwa nakutana na vijana wa bodaboda wakikimbiza pikipiki...
Unajua ndugu zangu, niwaambie ukweli kabisa yapo mambo unapo ongoza Taifa hupaswi kuyafanyia majaribio au mzaha maana mambo hayo ukiyafanyia majaribio au mzaha basi mwisho utajitekenya mwenyewe na...
Na:
MC Wenceslaus
Dodoma.
12.01.2021
Habari za leo ndugu watanzania wenzangu na wazalendo wote wa Tanzania hii! Ni matumaini yangu kuwa tunaendelea kuwajibika vema katika ujenzi wa uchumi wa nchi...
Chama cha wananchi CUF kimeipa kazi kampuni moja maarufu ya uwakili ya uholanzi kuwasilisha katika mahakama ya kimataifa ya uhalifu ( ICC ) VIELELEZO vinavyowatuhumu viongozi wa serikali ya...
Leo jioni nimetembelea kijiwe cha kahawa, wazee wakawa wanajadiliana mithali inayisema "mkataa kwao ni mtumwa!"
Wazee hao walielezea jinsi ambavyo watu wengi wamekuja mjini wakatelekeza kwao...
Wakuu humu ndani leo nilikuwa nafuatilia mapokezi ya Rais wa Msumbiji nimeshtushwa sana na mabadiliko ya nembo yetu ya Taifa hapo kwenye meza ya kuzungumzia viongozi (podium)
Nani kaleta wazo...
Tunakumbushana tu.
Tundu Lissu alikuwa na dada yake Bungeni
Zitto Kabwe alikuwa na dada yake Bungeni.
Dkt. Slaa alikuwa na mtalaka wake Bungeni
Ndesamburo alikuwa na mwanae pamoja na mkwewe...
Nchi nyingi huwa nasoma kwamba kwa mfano Serikali imechukuwa tuseme uamuzi x Wananchi wa hiyo nchi wanapinga wanakwenda Mahakamani kushitaki kwamba uamuzi huo ni kinyume na Katiba ya nchi yao...
Zanzibar inaadhimisha miaka 57 ya Mapinduzi leo na baadhi ya masuala aliyozungumzia Rais Hussein Mwinyi katika hotuba yake ni kama ifuatavyo:
Dkt. Hussein Mwinyi amesema Zanzibar inapaswa kuleta...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.