KITABU CHA RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA TATU BENJAMIN WILLIAM MKAPA.
Nimefurahi sana kumaliza kukisoma kitabu cha Mheshimiwa Rais wa awamu ya tatu ya uongozi wa Taifa letu la Tanzania Mzee Benjamin...
Spika wa Bunge, Job Ndugai Januari 18 amefanya utuezi wa wajumbe wa Kamati za Kudumu za Bunge 17, huku pia wenyeviti wa kamati hizo wakitajwa, wakiwemo baadhi ya wabunge waliofukuzwa uanachama wa...
Serikali ya Tanzania na hasa kiongozi wetu mkuu amerudia mara nyingi kuwa hatuna ugonjwa wa Covid-19 na wote tumeshuhudia ya kuwa kambi na wodi zilizokuwa zimetengwa zilifungwa tangu mwaka...
Mbunge wa Ilala Mussa Azzan 'Zungu' amechaguliwa kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Mambo ya Nje Ulinzi na Usalama na Humphrey Polepole kuwa Mwenyekiti wa Kamati ya Bunge ya Utawala na Serikali...
Tanzania is in the final stages of approving a permit for the country’s first rare earths mine to Australian company Peak Resources Ltd. as the government seeks a bigger share of revenue from...
MAUSIA YA TAIKON WA FASIHI KWA HABARI YA SIASA
WARAKA WA TANO KWA MWANANGU
Mimi Baba Yako,
Ndiye Taikon wa Fasihi mwana wa Tibeli, nyota ing'aayo yenye mbawa mbili.
Nalikuandikia haya.
Ikiwa...
KWANINI WABUNGE WENGINE WAPO KWENYE KAMATI ZAIDI YA MOJA?
Na Elius Ndabila
0768239284
Sawa! Swali lako ni la msingi. Labda kwa faida ya wengine nianze kwa kusema hivi:-
Utaratibu unaongoza...
Akizungumza katika kukabidhi kwa Shule ya Ihungo baada ya ukarabati kufuatia tetemeko lililoikumba mkoa wa Kagera.
Balozi wa Uingereza amedai kwamba Serikali ya Uingereza na Tanzania...
Wakiongozwa na Mwenyekiti wa kanda hiyo Mh Msigwa, viongozi wazito wa Kanda hiyo wamefika ndani ya Gereza hilo la Ruanda na kumsalimia ofisa wa kanda hiyo aliyewekwa kwenye gereza hilo kwa zaidi...
Nimesoma sehemu jana inasema kwamba shule ya Sekondari ya Ihungo imejengwa na serikali ya Tanzania baada ya kuharibiwa na earthquake.
Lakini leo katika ufunguzi nimemwona kuna mzungu fulani...
Mchungaji Gwajima alisimamia mchakato wa Lowasa kuingia UKAWA, akasimamia Dr. Slaa kwenda ughaibuini baada tu ya kampeni 2015, kisha akasimama kuinanga CCM kabla ajaingia madarakani JPM.
Baada...
Shule ya Sekondari ya wavulana Ihungo iliyoko mjini Bukoba inayotarajiwa kuzinduliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli tarehe 18 Januari, 2020.
Shule hiyo...
Rais wa Zanzibar, Dk Hussein Mwinyi leo asubuhi Alhamisi Januari 14, 2021 amewasili Chato kwa ziara ya siku mbili.
Akiwa Chato Dk Mwinyi na ujumbe wake watakuwa na mazungumzo na mwenyeji wao...
Na Mwandishi wetu Mihambwe
Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu ameagiza kukamatwa kwa uongozi wa bodi nzima ya chama cha msingi cha Ngonda kufuatia upotevu wa gunia 10 za Wakulima.
Gavana...
Lazima utofautishe ziara za kiutendaji na ziara za kisiasa.
Gambo haya unayolialia uliyatengeneza ukiwa RC Arusha dhidi ya MP/Mbunge godbless_lema.
Leo yanakurejea wewe mwenyewe pole usilie...
Hii taarifa imenaswa mahali kua kuna kundi kubwa la wasanii muda si mrefu wataungana na msaani mwenzao Wema Sepetu kujiunga na CHADEMA, kundi hilo linadaiwa kua na wasanii maarufu nchini hasa wale...
Waziri wa biashara Mh. Mwambe amesema bei ya mafuta ya kula imepanda kutokana na ongezeko la bei ya bidhaa hiyo kwenye soko la dunia.
Mwambe amesema bei kwenye soko la dunia imepanda kutokana na...
Tuliambiwa SGR Dar to Morogoro ingeanza Dec mwaka jana, Stiegler's Gorge nayo kimya. Sio Msemaji wa serikali wala Polepole wala praise team wanaogusia, nini kimewapata.
Bomba la mafuta toka Hoima...
Imekuwa kawaida Sana kusikia Rais anateua na kutengua siku za weekend au hata usiku wa manane.
Taarifa zimekuwa kila mara zinapotoka hazijali kabisa ni saa ngapi na siku gani. Hata siku za...