Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Naomba kujuzwa hili Baraza la Mapinduzi ambalo Rais wa Zanzibar ni Mwenyekiti wake linaundwa na watu gani? Wajumbe wa Baraza hili wanapatikanaje, kuchaguliwa au maveterani wa mapinduzi? Nani...
3 Reactions
33 Replies
4K Views
LAIZER AMEOMBA SERIKALI KUPELEKA WALIMU SHULE ALIYOJENGA Baada ya Bilionea Saniniu Laizer kukamilisha ujenzi wa Shule aliyoijenga kwa pesa zake na kugharimu milioni 466 ili kusaidia Jamii...
12 Reactions
54 Replies
6K Views
Nashauri wadau serikali wafatilie maoni ya wadau. Machache: 1. Serikali iwe na takwimu na mwelekeo kuweza kupanga mipango. 2. Kushirikikisha wadau sector binafsi. 3. Ikibidi kukopa kujenga...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Tatizo la uhaba wa madarasa limekuwepo kwa muda mrefu na lilianza kushamiri hasa miaka ya tisini. Ukweli ni kuwa sababu kubwa ni ongezeko la idadi ya watoto wanaotakiwa kujiunga na elimu ya...
1 Reactions
10 Replies
1K Views
Muda uliotolewa wa kuboresha Mashine za EFD wa mwezi mmoja (kuanzia desemba 7 hadi Januari 7) hautoshi, kwa sababu mawakala wanaofanya kazi hiyo wamezidiwa na kazi hiyo kutokana na wingi wa...
14 Reactions
110 Replies
12K Views
Kwenye ubunifu wa kujenga barabara ya kuvuka waenda kwa miguu kutoka upande mmoja kwenda mwingine Kigoma imeipiku Dar es salaam mbali mno Mainjinia wa barabara Dar es salaam nendeni Kigoma...
3 Reactions
50 Replies
7K Views
Nimekuwa nikifatilia uzinduzi wa mbuga ya wanyama, nimejiwa na maswali mengi sana ila kubwa na zaidi ni ili. Kwanza nini maana ya NENO AU JINA BULIGI? Je, ili neno asili yake ni wapi? Kwanini...
5 Reactions
78 Replies
17K Views
Hujambo na karibu ktk Mkutano na Muendelezo wa kampeni za Mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA/UKAWA Mh. Edward Ngoyai Lowassa. Hali katika Mji huu ni utulivu wa kutosha huku hamasa ya wakaazi...
17 Reactions
463 Replies
67K Views
Wanabodi, Salaam! Kwanza nianze kwa kukupongezeni kwa uhai wenu ndani ya kundijamii hili - nafahamu kwamba pamoja na kuwa tumo watu wa itikadi tofauti za vyama vya siasa, dini tofauti, jinsia na...
3 Reactions
32 Replies
4K Views
Ufisadi wa $600m hati fungani za Serikali: Tusikubali ya Rada, hatua zichukuliwe Taasisi ya Serious Fraud Office ya Uingereza ( SFO ) inafanya mazungumzo na Benki ya Standard Group ya Afrika ya...
7 Reactions
98 Replies
17K Views
Katiba ya Chadema inatoa fursa kwa mtu aliyehukumiwa na kamati kuu kukata rufaa Baraza kuu endapo hajaridhiks na hukumu iliyotolewa dhidi yake. Je, huchukua muda gani baraza kuu kuketi na...
2 Reactions
22 Replies
2K Views
Naweza sema hizi Barabara hasa hii inayoanzia Katumba - Mwakaleli- Rwangwa- hadi Kyela ni muhimu sana kiuchumi. Huko ndiko inatolewa gesi ya carbon dioxide hiyo inayotumika kwenye vinywaji...
8 Reactions
14 Replies
2K Views
WAZANZIBARI WAMEAMKA? Toka ilipoundwa Serikali ya Umoja wa Kitaifa (SUK) ghafla Zanzibar imebadilika na kuwatia matumaini makubwa Wazanzibari. Yanayoonekana katika mitandao ya kijamii katika...
6 Reactions
54 Replies
5K Views
Profesa Kabudi amesema Tanzania itapokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa mambo ya nje wa nchi hiyo. Ziara hiyo itakuwa na manufaa makubwa kwa nchi yetu ambayo ina mkataba wa...
9 Reactions
204 Replies
24K Views
Credit: Mozambique, Tanzania hold talks on security amid LNG delay worries - News for the Oil and Gas Sector (energyvoice.com) Mozambique and Tanzania have held high-level talks on a number of...
13 Reactions
72 Replies
12K Views
Aliyekuwa mgombea uchaguzi kupitia Chama cha Demokrasia na Maendeleo CHDEMA Tundu antipas Lissu amejitokeza na kutolea ufafanuzi kadha kuhusu kuwepo au kutokuwepo kwa kesi huko mahakama ya uhalifu...
14 Reactions
244 Replies
24K Views
Kuna mwanaJF mmoja hapa amewahi kusema kwamba mzee Uledi ni yule mzee mwenye macho mekundu na ni mwongo sana. Huyu ni mzee mmojabwapo wa mazee wanounda kamati chini ya mshona viatu ambae hii ni...
2 Reactions
14 Replies
2K Views
1: Anakuamini kwamba unao uwezo wa kufanya kazi uliyo ajiriwa kuifanya (They trust you to do the job you've been hired to do). 2: Anachukua ushauri/maoni yako na mchango wako katika kuboresha...
1 Reactions
3 Replies
641 Views
Back
Top Bottom