Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa wakazi wa mikoa ya Mwanza,Geita na Kagera wanafahamu umuhimu wa hii barabara hasa kwa uchumi wa eneo hili. Maana ni njia muhimu sana katika kusafirisha watu na bidhaa hasa kwa eneo hili...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Waziri wa maji mh Aweso ameipiga marufuku Ewura kupandisha ankara za maji kadhalika mamlaka zote za maji nchini zimeambiwa zisithubutu kuwapandishia wananchi bei za maji. Waziri Aweso amesema...
3 Reactions
28 Replies
3K Views
Salaam JF. Nyota ya Matumaini ya kisiasa Zanzibar inazidi kung’ara na hivyo kuandika historia mpya kwa Wazanzibar wote katika ulingo wa siasa, Tarehe 14.01.2021, Rais Magufuli aliwakaribisha...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam!! Halmashauri kuu ya CCM mkoa wa Geita imewafukuza uachama makada 50 baada ya kuchangia kupungua kura za Rais Uchaguzi mkuu 2020. Hayo yamesemwa na bwana Masele ambaye alisema...
15 Reactions
74 Replies
9K Views
Kama ilivyotolewa kama tetesi ndani ya JF tarehe 29th February 2012; (SOMA TETESI HII) Leo Ikulu imetoa taarifa rasmi: TUME YA MABADILIKO YA KATIBA (Sheria ya Mabadiliko ya Katiba, Sura 83...
35 Reactions
427 Replies
34K Views
Salaam Wana JF. Nimesoma na kuona andiko la Bwana Tundu AM Lissu kutoka Ubelgiji akijenga hoja juu ya maendeleo ya vitu na watu ndani ya eneo la Chato anapotoka rais wa sasa Wa Jamhuri ya...
13 Reactions
187 Replies
16K Views
Waliomshitaki wameshindwa kuthibitisha mashtaka yao jambo lililopelekea Mahakama kuamua kumwachia huru . Ikumbukwe kwamba Mh Lema aliweka hadharani orodha ya watu waliouawa kinyama mkoani Singida...
12 Reactions
24 Replies
4K Views
Nimefurahishwa na wazo la Profesa Ted Malyamkono na mwenzake kwa kuandika kitabu kinachoelezea mchango wa Rais JP Magufuli na mabadiliko aliyoyaleta ya kijamii,kisiasa na kiuchumi nchini. Mwelekeo...
4 Reactions
14 Replies
3K Views
Pamoja na majukumu ya kawaida ya wizara lakini kila wizara upimwe inaongezaje mapato ya serikali na inaongezaje ajira
1 Reactions
5 Replies
1K Views
Nimepita maeneo ya visiwa kadhaa vya wilayani Ukerewe mkoa wa Mwanza.Hali sio nzuri wavuvi wengi hawana elimu ya kujikinga na ugonjwa wa Corona tahadhari ya kunawa mikono haizingatiwi mikusanyiko...
1 Reactions
8 Replies
1K Views
Vyama vya Siasa Nchini Tanzania ni takwa la kisheria ambalo katu haliwezi kutiliwa shaka katika uwepo wake. Kwa makusudi kabisa Mwaka 1992 Tanzania ilikubali kuingia kwenye mfumo wa Vyama vingi...
4 Reactions
20 Replies
2K Views
Nilishangaa kuona baadhi ya vijiji mkoani Kigoma na hasa kule wanakotoka mawaziri Prof Ndalichako na Dr Mpango wananchi wanakunywa maji ya tope. Sasa leo nusura nizimie baada ya kuwaona runingani...
2 Reactions
30 Replies
2K Views
Picha za Hospitali ya Rufaa ya Kanda -Chato mkoani Geita ambayo imewekwa jiwe la msingi na Rais wa Jamhuri ya Msumbiji na Mwenyekiti wa SADC Mhe. Filipe Jacinto Nyusi mara baada ya kuwasili Chato...
38 Reactions
361 Replies
40K Views
Ni mengi yameletwa hapa jukwaani kwa muda mrefu na kwa awamu tofauti tangu zama za utawala wa Mr. Clean a.k.a Ben Mkapa ambapo jukwaa hili lilianza rasmi likijulikana kwa jina la @JamboForums...
11 Reactions
29 Replies
3K Views
Waziri wa Nishati nchini Tanzania, Dk Medard kalemani amewataka wawekezaji wa nje na ndani kwenda kuwekeza katika wilaya ya Chato mkoani Geita akisema inazo fursa mbalimbali kwani baada miaka...
2 Reactions
101 Replies
14K Views
Saalam! Nchi kadhaa duniani zimeathirika kiuchumi, kielimu, kisiasa nk. Kutokana na hali hiyo, Serikali nyingi zimechukua hatua za kuzikwamua sekta mbalimbali hasa za kiuchumi kuziongezea...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Salaam Wakuu, Benki ya Dunia inatazamia kutoa Dola za Kimarekani Milioni 425 katika mpango wa miaka mitano wa uboreshaji wa elimu ya juu ili kwendana na Mabadiliko ya Kiuchumi Wizara ya Elimu...
5 Reactions
19 Replies
3K Views
Hii ni taarifa rasmi kutokea makao makuu ya nchi Dodoma, Kikao hicho cha Baraza la Mawaziri kimefanyika leo na kuongozwa na Mama Samia.
7 Reactions
56 Replies
7K Views
Kwa mtazamo wangu,katika taasisi ambazo zimeundwa kwa sheria nzuri na bora, basi ni EWURA, na si ajabu hakuna taasisi nyingine yenye sheria nzuri kama EWURA kwa maana ya kuwa taasisi ya Serikali...
0 Reactions
2 Replies
972 Views
Kama Serikali itataka kufanya shughuli zote hadi za kubeba nyama kutoka machinjio mpya ya Vingunguti na kusambaza mabuchani basi sekta binafsi inaweza kudhoofu sana. Nilimsikia Naibu Waziri wa...
3 Reactions
25 Replies
4K Views
Back
Top Bottom