Ninapoangalia yaliyowafanya vijana wa Uganda kuamua kujitolea muhanga kutaka mabadiliko, mengi ni yale yale yanayoendelea Tanzania: vijana kutokuwa na fursa, dhuluma ifanywayo na vyombo vya...
Hope kila mmoja ameshiba pilau.
Bila kupoteza muda, naomba niende moja kwa moja kwenye lengo la Uzi huu. Namshukuru Mungu mtoto wa baba yangu mkubwa ni moja ya kijana walibahatika kupata ajira...
Jafo aagiza watumishi TBA kukamatwa
SATURDAY JANUARY 16 2021
Summary
Waziri wa Tamisemi, Selemani Jafo amemuagiza mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Thobias Andengenye kuwakamata na kuwekwa ndani viongozi...
Kusema ukweli ukilinganisha kati ya amsha amsha ya Lowassa mwaka 2015 na Lissu mwaka huu 2020 naona Lissu hawezi kufikia hata nusu ya kura milioni 6 alizozipata Lowassa katika uchaguzi Mkuu wa...
Dhana ya Maendeleo nchi isipotoshwe na watu wachache kwa sababu zao lakini uhalisia ni kwamba maendeleo yanayofanyika Chato yasichukuliwe kuwa ni upendeleo la hasha. Tukumbuke kuwa Taifa hili...
Kwa wale wenye upeo mpana wa kupima maneno ama vitendo vya mtu kama ni vya kuaminika ama laa watakubaliana nami juu ya dhamira ya rais Magufuli kutuletea wananchi maendeleo kupitia maneno yake ni...
Wana JF hamjambo?
Nimeona watu wengi wanaojiita great thinkers wakizungumzia miradi inayofanyika Chato!
Hii inasikitisha sana kwa macho yootee kuangalia sehemu moja! Wabunge wengi wanafahamu...
For those who think democracy is alien to Africa, it is important to clarify the term democracy.
Democracy is derived from two Greek words "demos" meaning people and "kratos" meaning rule...
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso amemsimamisha kazi mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji safi na usafi wa mazingira Dodoma (Duwasa), David Palangyo kumtaka asubiri kupangiwa kazi nyingine. Aweso amesema...
Simug'unyi maneno wala sitaki kuwa mnafiki. Mbowe kaa pembeni.
Kwa nini unawafanya watanzania ni mazuzu wa kisiasa?
Hivi hata kama mzee wako ndie muasisi wa Chadema, ndio unataka kufanya Chadema...
Watoto wa madarasa ya awali na darasa la kwanza hawapokelewi mashuleni mpaka wazazi watoe michango.
Utafiti uliofanyika unaonyesha mzazi wa darasa la kwanza analazimika kuchangia kati ya tsh...
å Mimi mara nyingi humfananisha Rais Donald Trump wa Marekani na Rais John Pombe Magufuli wa Tanzania kitabia na kwa staili yao ya uongozi.
å Kwa yanayotokea Marekani chanzo kikiwa ni tabia na...
Kwa kweli kama kuna kitu watu watakumbuka ni jinsi gani serikali ya Rais Magufuli imekuja na miradi kadha wa kadha ya kimkakati. Mingi ni ile ya maendeleo, lakini pia ipo ile ya ufufuaji vile...
Naibu waziri wa kilimo Hussein Bashe amekanusha serikali kufunga mipaka ya biashara ya mazao ya kilimo na nchi jirani.
Bashe amesema biashara hiyo ilizorota kwa sababu ya Corona na kidogo mambo...
Kwa wenye uelewa na ufahamu wa siasa za Marekani, tupeni udadavuzi wa maswali haya tafadhali.
Kwamba, Donald Trump anakabiliwa na mashtaka ya kung'olewa madarakani hata baada ya kuwa zimebaki...
Katika Kijiji cha Makilawa, Kata ya Makilawa Jimbo la Singida Magharibi, Wananchi Wanakamatwa na Wanaliplpishwa Shs. Laki Moja (100,000/-) kila Mmoja kuchangia Ujenzi wa Sekondari.
Muda huu...
Saalam!
Katika Mambo ambayo Waziri Jafo anatakiwa kuwa makini ni juu ya mipango miji.
Nimeenda manispaa ya morogoro nimeona stand ya daladala imehamishiwa mafiga, nilipohoji, jibu ni kwamba...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ofisa Programu wa Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu, Tito Magoti na mwenzake Theodory Giyani, ambaye ni Mtaalamu wa Tehama, kulipa fidia ya Sh...
Saalam Wana bodi!
Nimekuja na swali hili, kutokana na madhila yanayotupata wananchi katika kipindi hiki cha kupeleka wanafunzi shuleni.
Unakutana na michango mingi unaeza sema afadhali tungelipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.