Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Jana nimeisikia kauli ya Kamanda wa Jeshi la Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, Lazaro Mambosasa akisema wanamshikilia mtu anayejiita Askofu wa kanisa la Moravian la uamsho Tanzania Askofu...
3 Reactions
66 Replies
9K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimehitimisha mchakato wa kupata mgombea wake wa urais kwa upande wa Zanzibar. Ni Hussen Ali Hassan Mwinyi. Mwanasiasa mtulivu, mkimya na asiyependa kujikweza. Zipo...
21 Reactions
54 Replies
7K Views
Leo Mgombea Urais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na Mgombea Urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Bernard Membe, watapokelewa asubuhi hii na Wazanzibar wa Unguja. Matukio mbalimbali na...
46 Reactions
333 Replies
38K Views
Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza...
11 Reactions
73 Replies
14K Views
Mgombea wa kiti cha urais wa Zanzibar kwa kupitia chama Cha CCM, Dkt. Hussein Mwinyi ametangazwa kushinda uchaguzi huo kwa kupata kura 380402 sawa na 76.27% Mpinzani wake wa karibu Mgombea urais...
11 Reactions
66 Replies
9K Views
Akihutubia Maelfu ya wananchi kwenye kampeni za uchaguzi wa Rais wa Zanzibar mwaka 2020, Maalimu Seif aliwaambia wananchi kuwa upo mpango unasukwa wa kubadili katiba ili Rais aliyeko madarakani...
1 Reactions
5 Replies
2K Views
Heshima Kwenu, Kwa muda mrefu sasa simsikii kwenye medani za siasa aliyekuwa mgombea mwenza wa UKAWA kwenye uchaguzi mkuu wa mwaka 2015.Huyu ni Juma Duni Haji ambaye ana cheo cha makamu...
1 Reactions
22 Replies
4K Views
Historia ya siasa za Zanzibar haiwezi kuandikwa ikakamilika bila kulitaja jina la Seif Sharif Hamad. Maalim ni mtu mmoja mwenye sehemu kubwa katika historia hiyo na kamwe hapuuziki. Maalim...
3 Reactions
29 Replies
5K Views
Habari Wadau. Imenibidi niseme tena maana najua imeshasemwa sehemu kibao. Kwa serikali yetu hii ilivyo kasi katika kutuletea maendeleo naona suala la mtandao wa internet limekuwa tatizo kubwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Wakuu kwanza poleni kwa msiba! Lakini katika haya majonzi tutafakari pia mwelekeo wa siasa za Zanzibar baada ya kifo cha Seif hasa ukizingatia yeye ndio alikuwa kama kiongozi kwa upande wa...
4 Reactions
84 Replies
10K Views
Salaam Wakuu, Nmeanza kuelewa kwanini Matajiri wengi wa Tanzania wanaficha fedha zao nje ya Nchi. Siwalaumu tena. Na kama hii hali ikiendelea, Benki nyingi zitatikisika kiuchumi kwani watu...
83 Reactions
273 Replies
36K Views
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni.. Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu...
1 Reactions
36 Replies
3K Views
Maoni yangu Bahati nzuri ni kwambwa wazanzibar wameshaijua nia ovu iliyopo nyuma ya pazia ya huyu mzee, mwaanzo kabisa alikuja na hoja upemba kuwa wapemba wanabaguliwa kuwa hawastahili kuongoza...
1 Reactions
46 Replies
7K Views
Waungwana na wazalendo wa Tanzania mliopo JF nawasalimu, Sasa ni Dhahiri kuwa Maalim Seif Sharrif Hamad amehama CUF na kuhamia ACT-Wazalendo. Kuanzia jana, kumekuwa na kuweweseka mno kwa makada...
73 Reactions
126 Replies
18K Views
Mkandarasi anayejenga stendi kubwa ya mabasi ya kimataifa ya Ngangamfumini, Manispaa ya Moshi mkoani Kilimanjaro yenye thamani ya bilioni 28, ametoa wiki moja kwa serikali imlipe fedha zake ambazo...
19 Reactions
109 Replies
12K Views
Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF , Maalim Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF , Maalim Seif Sharif Hamad Kwa ufupi Maalim alihudhuria masomo ya shule ya msingi katika Shule ya Msingi...
1 Reactions
21 Replies
22K Views
IJUE HISTORIA FUPI YA MAALIF SEIF AMBAYE TUNAMLILIA LEO. Na Elius Ndabila 0768239284 Leo Rais wa Zanzibar Mhe. Dkt Hussein Mwinyi ameitangazia dunia kuwa mependwa wetu na mwanasiasa wa muda...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Serikali imewapatia huduma ya usafiri wa gari wajane wa aliyekuwa Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Alhaji Aboud Mwinyi Jumbe ikiwa ni sehemu ya kutekeleza Sheria ya Mafao...
6 Reactions
32 Replies
6K Views
Kinyang'anyiro Cha uchaguzi Ndogo wa kuziba nafasi mbalimbali zilizoachwa wazi ndani ya CCM Mkoa wa Arusha baada ya makada wake kupata nafasi zingine za Ubunge na udiwani kimeanza kwa kasi baada...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Mhesh Balozi Wilsoni Masilingi amefanya ziara muhimu kwa kutembelea ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo eneo la Ndejengwa Jijini Dodoma. Mhesh Masilingi ameiopongeza sana Tume...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Back
Top Bottom