Addo Shaibu punguza majivuno, wewe bado ni kijana katika siasa

jitombashisho

JF-Expert Member
Jun 11, 2020
667
2,242
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni..

Ushauri wangu kwake bwana mdogo yule aache majivuno ya haja kwa sababu yeye bado mchanga katika uga huu wa siasa.

Pengine kwa mindhari ya uzani huenda anafikiri ukatibu wake wa chama cha siasa anajiringanisha na ubabe wa kina Katibu mkuu wa CCM jambo ambalo uzani wao si sawasawa hata kidogo.

Ki hadhi na ki mamlaka Katibu mkuu wa CCM bado anayo heshima ya kipekee tofauti kabisa na ukatibu wa akina Addo.
 
...nilimshuhudia mahali jana akiongea kwa majivuno kana kwamba yeye ni Bashiru Ally!

Acha Ujinga Katibu wa Chama ni Katibu tu maana kazi zao zinafanana. So wewe Unaona Bushiru Ally ndiye katibu anayefaa kujivuna tu. Haukumbuki Wizi na Ujambazi wa CCM tarehe 28 Oct, 2020. Shut up Bro.
 
Kama ni Muha hilo sio la kushangaza, mcheki hata yule dogo mwingine Abdul Nondo anajiona yeye tayari kashakuwa Mwanasiasa nguli.
 
Ukimsikiliza Addo Katibu mkuu wa ACT Wazalendo hakika unakiona kiburi, majivuno na hata hali ya kuvimba kama vile yeye ni...
Vipi amekumegea mkeo? Maana unabwabwaja tu husemi hasa amefanya kitu gani. Tatizo maccm mnajiona kama nyie ndiyo mna hatimiliki ya nchi hii.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom