Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,206
- 4,698
Mhesh Balozi Wilsoni Masilingi amefanya ziara muhimu kwa kutembelea ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC) zilizopo eneo la Ndejengwa Jijini Dodoma.
Mhesh Masilingi ameiopongeza sana Tume hiyo kwa kufanikisha kujenga jengo la kisasa ambalo ni makao Makuu yake.
Aidha ameipongeza sana Tume hiyo ya Uchaguzi inayoongozwa na Mkurugenzi wake Dkt Mahera kwa kuendesha na kufanikisha vizuri sana Uchaguzi Mkuu wa Oktoba 28, 2020 kwa kutumia fedha za ndani.
Chanzo: Tume ya Taifa ya Uchaguzi.