Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Business mogul Rostam Aziz, one of the Tanzania’s most successful businessmen, has built a $65 million liquefied petroleum gas (LPG) storage and filling facility in Dar es Salaam, Tanzania...
1 Reactions
10 Replies
4K Views
Wakuu wa Wilaya hujinasibu kumwakilisha rais lakini baadhi ya watu hawa ni balaa. Nimesimuliwa anayoyafanya mkuu wa wilaya ya Ukerewe, yanasikitisha. Tangu Mkuu huyu wa Wilaya amepelekwa wilayani...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Kwanza kabisa kabla sijashusha nondo niweke wazi kuwa mahakimu wengi huwa wanatumia mwanya wa uhuru walionao kisheria kutoa adhabu kupendelea watu. Ni wazi kuwaa Halima Mdee na wenzake walifanya...
4 Reactions
44 Replies
3K Views
TOKYO - Wizara ya Mambo ya Nje ya Japan imetoa onyo kusitisha au kuahirisha kusafiri kwenda Tanzania kwa sababu ya hali mbaya ya maambukizi ya ugonjwa wa coronavirus. ========= Japan warns...
9 Reactions
40 Replies
6K Views
Wana Jf leo mbunge wa Morogoro mjini amebagazwa vibaya sana,kama ni mtu una roho ndogo basi mpaka wakati huu angekuwa ameandika barua ya kujiuzulu. Maana hata kama ni kupeana makavu sio kwa namna...
32 Reactions
72 Replies
8K Views
Chama cha Watanzania ni CCM, tulieni, Watanzania walio wengi ,na hawa wachache ni wa vyama vingine ambavyo zaid vipo kikanda au kiukoo mfano, wapemba wachaga na kadhalika. Ifahamike inaposemwa...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kiongozi wa chama cha upinzani - ACT Wazalendo, Zitto Kabwe anasema ikiwa watu hawatafuata miongozo inayotolewa na Shirika la Afya Duniani kuna hatari ya ugonjwa wa homa kali ya mapafu...
7 Reactions
38 Replies
5K Views
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na...
6 Reactions
77 Replies
11K Views
Baada ya salamu kutoka kwa viongozi mbalimbali, Rais Magufuli anategemea kuhutubu punde.. Kwasasa kinachoendelea ni burudani kutoka kikundi cha asili. ====== WAZIRI JAFFO: Toka tunapita...
6 Reactions
148 Replies
18K Views
Ulipofika wakati wa kustaafu mzee Nchimbi (the former DEO) watu walitarajia kupata promotion kuchukua nafasi yake lakini haikuwa hivyo badala yake akaletwa Martin Mahinda kushika madaraka ya DEO...
6 Reactions
27 Replies
4K Views
Vita ya corona march 2020. Waziri wa mambo ya ndani ya Saudi arabia amesitisha shughuri zote za ibada huko Mecca na Madina. ndugu zangu watanzania je? Sisi tunakwama wapi? jibu kwa...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
ASKOFU MWAMAKULA AZUNGUMZIA "MATEMBEZI YA HIYARI" Baada ya Askofu Mwamakula kutangaza kuwa 'ataingia barabarani' kuongoza "Matembezi ya Hiyari" kwa nchi nzima ili kuhamasisha umma kuhusu umuhimu...
15 Reactions
52 Replies
5K Views
Nchi ya Tanzania, ndiyo nchi inayoongoza kwa kuwa na mazingira mabaya kabisa ya uwekezaji katika sekta ya madini, ikifuatiwa na nchi ya Venezuela. Hii ndiyo sababu, kwa nini leo hii huweza kupata...
22 Reactions
66 Replies
7K Views
Kupitia forum hii ya JF naomba kuwasilisha ushauri wangu. Kwa mjibu wa katiba yetu Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania ndio mfariji mkuu, na kwa msingi huo naomba kumshauri raia namba moja...
9 Reactions
47 Replies
4K Views
Mada hapo juu yaeleweka. Serikali ya awamu hii imeibua mradi mwingine wa Matrilioni wa ujenzi wa secondary mpya zaidi ya 1056. Katika shule hizi 26 zitakuwa za bweni huku kila mkoa Tanzania bara...
1 Reactions
32 Replies
3K Views
Mwaka jana wakati Covid 19 imepamba moto wabunge wa Chadema na ACT Wazalendo walitoka bungeni na kuamua kuji-quarantine kihuni huku wakiwa tayari wamevuta mkwanja aka posho za kulia bata. Kitendo...
9 Reactions
72 Replies
4K Views
Habari zenu mabibi na mababu! Kwanza kabisa ni ukweli usiopingika kuwa kwa sasa kila mtu anapoambiwa au kusikia kuongezewa muda wa kutawala Rais magufuli anashikwa na ghadhabu na kutamani ata...
5 Reactions
32 Replies
3K Views
Na WAMJW- ARUSHA KATIBU MKUU Wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Prof. Mabula Mchembe ametoa wito kwa wananchi kuwahi kwenda kupata matibabu katika vituo vya kutolea...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Dkt MAGUFULI NA MRADI WA BWAWA LA UMEME LA STIGLERS GORGE (MUNGU AMETULETEA KIONGOZI ANAYEACHA ALAMA), KUMBUKUMBU YA #KWAME #NKURUMAH NA #GAMAL ABDUL #NASSER Ni #Joseph #Yona #Kwame #Nkurumah ni...
-2 Reactions
14 Replies
1K Views
Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo...
0 Reactions
14 Replies
4K Views
Back
Top Bottom