Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwanza kabisa limewashtua watu wengi sababu kwa mujibu wa muongozo wa utoaji taarifa ni Rais,Waziri Mkuu au Waziri wa Afya, kwanini hawajatupa taarifa kuwa kuna maabukizi ya Covid 19 hapa nchini...
33 Reactions
171 Replies
14K Views
Habari wana jamvi! Hii habari ya Mh. Balozi Kijazi kupewe nafasi ya Katibu Mkuu nimeipokea kwa mikono 3...! Tafadhali, mwenye CV yake naomba aiweke hapa, tumjue kwa undani huyo kiongozi wetu...
4 Reactions
98 Replies
63K Views
Makala hiyo hapo chini ya Brigedia Jenerali Mstaafu Francis Mbenna katika gazeti la Jamhuri la tarehe 26 Julai 2016 imeweka nukuu kutoka kitabu changu, ''The Life and Times of Abdulwahid Sykes...
7 Reactions
650 Replies
77K Views
Unjani. Naandika kama mdau wa sekta ya usafirishaji watu na mizigo ,na napenda kutoa mawazo chanya kwenye kuisaidia serikali kwenye kipindi hiki cha janga la corona. Siungani na wananchi ambao...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
  • Closed
Tulipoamua kumuomba Mungu kuhusu janga la corona akasikia, hatupaswi tena kurudi nyuma. Sasa sio wakati wa kuomba tena au kulialia ni wakati wa "Kumshukuru Mungu kwa kuliponya taifa wakati ule...
24 Reactions
81 Replies
6K Views
Salam za rambirambi kwa Mpigania Demokrasia na mwasisi wa upinzani Zanzibar Ndg Maalim Seif. Rais wa JMT ametangaza Maombolezo siku tatu na kwamba bendera itapepea nuzu mlingoti. Rais wa...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam. Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2 Kufanya...
1 Reactions
21 Replies
4K Views
Siasa ni sayansi. Hatimaye Corona inaelekea kutokomezwa hapa nchini na kilichobaki ni wananchi kuchukua tahadhari ya kawaida tu ili kujikinga. Kadhalika Chadema nayo ndio imesambaratika...
4 Reactions
59 Replies
6K Views
Unyanyasaji wa Wafanyakazi umerudi tena Muhimbili. Mfanyakazi ukiongea kitu ambacho kinaonekana ‘kutishia’ cheo cha boss unaondolewa kwa sababu za kutunga. Waziri tunajua una taarifa nyingi...
14 Reactions
31 Replies
5K Views
Maalim Seif alikuwa ndio nguzo ya CUF na alipohama CUF nayo ikawa imekufa " kimsingi " Maalimu Seif akawa nguzo ya ACT Wazalendo ambayo wabunge wake wote ni wafuasi binafsi wa Seif. Kufariki kwa...
4 Reactions
28 Replies
4K Views
Mitandao yote na kila kona watu wanalia au tunalia kifo cha Jaji Regina Reyemamu. Hutokea kwa nadra sana jaji akifariki halafu umma wote usikitike kw sauti moja kama inavyotokea leo kwa Jaji...
9 Reactions
18 Replies
4K Views
Tanzania ni nchi inayofuata mfumo wa uendeshshaji utawala wa mihimili mitatu, Bunge, Mahakama na Serikali. Wakuu wa mihimili hii kwa nyakati tofauti bila kuzingatia upatikanaji wao, wote katika...
5 Reactions
20 Replies
2K Views
Unapata taarifa kuwa Waziri mwenye dhamana na afya za watanzania ataongea na waandishi wa habari mbele ya luninga. Kinachofuata unashuhudia Waziri na naibu wake wakijifukiza na kisha kushushia na...
2 Reactions
44 Replies
3K Views
Wote ni wageni wa hospitali isipokuwa tunatofautiana muda wakufika hospitali na sababu itakayotupeleka huko. Tunavyojadili miradi naamini mradi mkuwa kwa sasa ni mradi wa kuponya afya za watu...
1 Reactions
17 Replies
2K Views
Kutoka Zanzibar, maandalizi yameshakamilika kwa ajili ya kumuapisha Makamu wa kwanza wa Rais, Maalim Seif Shariff Hamad kutoka chama cha ACT-Wazalendo. Kuwa nami kukujuza yatakayojiri kutoka...
13 Reactions
90 Replies
13K Views
TAARIFA KWA UMMA NI MSIBA MZITO SANA! BURIANI MAALIM SEIF The Civic United Front CUF- Chama Cha Wananchi kimepokea kwa masikitiko na huzuni kubwa sana Taarifa ya Kifo Cha Makamu wa Kwanza wa...
17 Reactions
23 Replies
3K Views
Kuna nchi moja (jina kapuni), viongozi wake wanaonekana kutokuwa serious kiasi cha kutosha katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Corona kama ilivyo katika mataifa mengine duniani zikiwemo hata...
10 Reactions
35 Replies
5K Views
Kumekuwa na shinikizo kutoka kwa baadhi ya watu hasa wanasiasa kutaka Rais Magufuli na serikali yake wafunge mipaka ya nchi na kutoa tamko la kuwataka/kuwalazimisha wananchi wabakie majumbani mwao...
90 Reactions
297 Replies
22K Views
Korona 2.0 Kwani Rais ana Ubia na Maisha Yenu? Na. M. M. Mwanakijiji Naandika kama shabiki wa Magufuli; naandika kama mtu ambaye nimeelewa malengo yake na mitazamo yake, na ninaandika kama mtu...
48 Reactions
121 Replies
10K Views
Back
Top Bottom