Mkuu wa Mkoa Dar Paul Makonda amesema Mbowe ameahirisha mikutano ya kisiasa iliyopangwa kufanywa kuanzia mwezi wa nne baada ya mtoto wake kuumwa Corona.
Makonda amesema huenda mtoto wa Mbowe...
KUJIKINGA NA #CORONAVIRUS: SHULE ZAFUNGWA KWA SIKU 30
Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema shule zote kuanzia za Awali hadi Kidato cha 6 zimefungwa kwa siku 30 kuanzia leo Machi 17...
Huyu Meya alifikiri ni sifa kuwaamrisha watu waliohudhuria mkutano wa baraza la madiwani wa manispaa hiyo kwa mawazo yake ya kijinga kuwa ilikua makosa kuvaa Barakoa wazive na kama hawavui...
Wagonjwa wa Corona wafika 3 sasa Tanzania baada ya wawili zaidi kupatikana leo na mmoja kutoka Zanzibar.
Waziri mkuu Majaliwa athibitisha kwa kusema “Tuna ongezeko la wagonjwa wawili ambao...
Hii ndio Tweet yao:
"This is important information for British Nationals travelling from Tanzania to the UK. As Tanzania is a red list country, you must book hotel quarantine before you travel."...
Uzalendo kwanza.
Ni wakati sasa wa mamlaka za serikali hasa wizara ya ardhi na Serikali za mitaa kuanza rasmi kuitumia sheria ya kodi ya jengo yaani property tax na sheria ya ardhi kudhibiti...
Saalam!
Kilichotokea Morogoro siku mbili zilizopita zimenipa uelewa Mpana juu ya kiumbe aitwae mtanzania.
Wakati anaingia bungeni kwa Mara ya Kwanza Abood, alijipangia yeye binafsi kutoa huduma...
Bila kumung'unya maneno naanza moja kwa moja kuwaasa wananchi wa Tanzania kulinda afya zenu wenyewe , hii ni kwa sababu usalama wa maisha yako ni HAKI YA KIKATIBA , mtu mdogo kama Meya wa Manispaa...
Hii ndio taarifa aliyoisambaza kwa wahusika wote wa ndani na nje ya nchi, na kwamba Mkutano huo utafanyika nyumbani kwake maeneo ya Kimara suka tarehe 17/2/2021 kuanzia saa 5 Asubuhi.
Kwa wale...
Sikupata jibu na niliwaza sana kilichompeleka Maalim Seif Ikulu kukutana na Magufuli ni nini?
Niliwaza sana, nikamlinganisha kitendo hicho na say, Museveni kukutana na Bobi Wine, his main rival...
Mgogoro wa Uongozi ndani ya Chama cha wananchi Cuf umeendelea Kufukuta ambapo M/kiti wa Chama hicho Prof.Ibrahim Lipumba amemteua Naibu Katibu Mkuu Bara Magdalena Sakaya kukaimu nafasi ya Katibu...
Akiongea na DW Swahili mwenyekiti wa CUF kitendo Cha Maalim selif Shariff Hamad kuamia ACT Wazalendo Ni kuwasaliti Wazanzibar na wantazania kwa Ujumla kwa sio suluhisho la matatizo yaliyopo...
Leo ndio siku iliyopangwa kutolewa hukumu ya uhalali wa Uenyekiti wa Lipumba CUF.
Ninamtakia kila la heri Maalim Seif .
----Updates----
MAHAKAMA KUU YAMTAMBUA PROF LIPUMBA KAMA MWENYEKITI...
Ni miezi takriban minne sasa tangu Rais Mstaafu BWM atutoke. Bila ubishi, Rais Mkapa alikuwa na ushawishi mkubwa ndani ya siasa za CCM, na ni ukweli usio na shaka kuwa outcome ya siasa za CCM za...
Mwaka 2021 umeanza kwa kutangazwa kodi au tozo ambazo awali hazikuwepo. Tumesikia ukaguzi wa magari, garama za kuagiza magari zimepanda mara mia, tozo katika bidhaa nyingi za nje nk.
Hii...
MKUU wa Wilaya ya Kalambo mkoani Rukwa, Carlolius Misungwi, ametoa siku 16 kwa watendaji wa kata na vijiji kuhakikisha wanarejesha Sh. milioni 162 ambazo ni makusanyo ya halmashauri hiyo ambazo...
Kitendo cha. Mkurugenzi wa Uchaguzi kinondoni kumika na ccm ni dhambi kubwa.
Amejitahidi Sana kuzuwia viapo vya Chadema, mpaka mabomu yamepigwa ndipo akatoa.
Kesho ukifanya lolote la kupindua...
Katika kipindi cha magazetini Leo, imeripotiwa kuwa Maalimu Seif alikwepa kusalimiana Dkt Shein walipokutana kwenye maziko ya Aboud Jumbe.
Hii inapeleka ujumbe gani kwa wana-Zanzibar...
Katibu Mkuu wa CUF, Maalim Seif Sharif Hamad jana aliitikisa Zanzibar pale alipoanza ziara yake ya siku sita katika Wilaya ya Kaskazini A na kusababisha polisi kuwatawanya wafuasi wake kwa mabomu...
Nikiwa Tabora ambapo nilikwenda kwenye msiba wa rafiki yangu aliyefiwa na mama yake mwezi huu. Nilikutana na kituko cha mwaka ambapo tukiwa hapo msibani ulisikika muziki mkubwa sana kiasi ambacho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.