Zanzibar 2020 Michenzani, Zanzibar: Maalim Seif akamatwa kwa kutaka kuongoza maandamano ya kupinga Matokeo ya Uchaguzi

ACT Wazalendo

JF-Expert Member
May 5, 2014
605
1,536
Screenshot 2020-10-29 at 14.15.10.png

Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
 
Tanzania imeshaamua.

Hakuna mwenye muda wa kupoteza wa kuandamana.

Waandamane wao na familia zao.

Sio kushawishi watoto wa watu kila siku kuumia kwa manufaa yao.
Hii ni kauli chafu sana
 
View attachment 1615407

Mwenyekiti wa ACT Maalim Seif Sharif Hamad, Makamo Mwenyekiti Juma Duni Haji Ismail jussa na Viongozi wa Kamati Kuu na Halmashauri Kuu Wamekamatwa muda huu Michenzani walikuwa wanaongoza maandamano ya kutafuta haki.
Haki haitafutwi haki inachukuliwa Si unakuwa tayari unamjua aliye shikilia haki yako , sasa unapenda kuitafuta wapi 😄
 
Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huo kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.

2025 Tanzania bado hatujajua demokrasia na wabunge na madiwani wanapita bila kupingwa.
 
Nchi ya Ugiriki katika mji wa Athens mwaka 330BC ilianzisha demokrasia. Mwaka huu kila ni mwanaume aliyeishi Athens alipewa haki ya kumchagua kiongozi wake midhali awe na umri wa miaka 30. Hii ilijumuisha wageni, watumwa na wafanya kazi wa majumbani.

Daah!
 
Kwani lazima tufanane na ugiriki 😂😂
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom