Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

It’s no secret that I’ve called out the opposition on their hypocrisy on many things, coronavirus included. And it’s no secret that I have umpteen times excoriated the government for its inept...
1 Reactions
15 Replies
1K Views
Akizungumza katika misa ya mazishi ya Balozi Kijazi Katibu wa TEC father Kitima amesema wanakubaliana na tamko la Rais Magufuli kwamba wananchi wamwombe Mungu bila kuacha kuchukua tahadhari za...
2 Reactions
33 Replies
4K Views
Watu tumekaa kumlaumu Rais wetu eti hajasema kuwa Corona ipo. Huu ni ujinga uliyopitiliza kwa kweli.Matendo Huwa yanasema kuliko maneno. Mfano, Mzuri ni huu: Waziri Jafo alipotangaza Siku saba...
13 Reactions
63 Replies
5K Views
Wafanyabiashara na wasafirishaji wa Songea mjini wamegoma wakitaka kukutana na viongozi wa mkoa ili kutatua changamoto zinazowakabili. Wafanyabiashara hao wamedai wanafanya kazi katika mazingira...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Kuna watu wameumbwa kwa ajili ya kuwakera wenzio na kuwaombea wenzio mambo yasiyo ya heri. Kabla sijasema sana mlimwengu mimi naomba ninukuu Kutoka kwenye Azimio la Arusha kama ifuatavyo; 'Katika...
11 Reactions
151 Replies
7K Views
Jeshi la Polisi Mkoani Pwani limewakamata watu wanne kufuatia taarifa wanazozusha kuhusu watu kufariki kwa COVID19 katika Mitandao ya Kijamii na kuleta hofu kwa wananchi. Kamanda wa Polisi Pwani...
6 Reactions
35 Replies
4K Views
Imezoeleka kuwa utawala wa Rais Magufuli umetia umma woga. Kwamba anachokisema Rais Magufuli ndio fainal hakuna wa kupinga au kutenda kinyume. Msimamo wa Rais Magufuli ni kwamba hakuna Corona...
51 Reactions
76 Replies
8K Views
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa. TFDA na TBS nadhani watakuwa...
37 Reactions
108 Replies
8K Views
Jisomee mwenyewe. Na Thomas Mtinge, Mbeya CHAMA Cha Demokrasia na Maendeleo(CHADEMA),kimepata pigo baada ya wanachama wake 365 akiwemo Mjumbe wa NEC na Baraza Kuu la Vijana(BAVICHA),Frank Fumpa...
0 Reactions
25 Replies
5K Views
Kwa taarifa za uhakika ni kuwa aliyewahi kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Tanzania, Profesa Benno Ndulu ametangulia mbele ya haki. Profesa Benno Ndulu amefariki dunia asubuhi ya leo Februari 22, 2021...
40 Reactions
270 Replies
40K Views
Mkuu wa mkoa wa Mtwara Gelasius Byakanwa, amefungua milango kwa waganga wa kienyeji na wananchi ambao wana uwezo wa kutibu maradhi yote ya mfumo wa upumuaji kufika ofisini kwake kujitambulisha ili...
4 Reactions
44 Replies
5K Views
Na baba Askofu Stephen Munga JE, ASKOFU MWAMAKULA NI MFIA IMANI NA SHUJAA?! Kwa muda sasa tulikuwa tukimsikia Baba Askofu Emmaus Mwamakula akiandaa matembezi ya hiari kwa ajili ya kudai Tume...
21 Reactions
43 Replies
5K Views
Balozi wa Tanzania nchini Kenya Dr. John Simbachawene amewataka Watanzania wanaosafiri kwenda nchini humo kuhakikisha wanafuata masharti ya nchi hiyo kwa wageni. Masharti hayo ni pamoja na kupima...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Mimi nimeshangazwa sana na unafiki wa baadhi ya watanzania wenzetu. Kila siku wanapiga kelele kuhusu corona na kumlaumu mheshimiwa Rais kwamba hachukui hatua ni hatua zipi wanazozitaka? Unafiki...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Naomba niwe mkweli wa dhamira yangu ili nisinene kwa unafiki au ushabiki wa aina yoyote. Na wachangiaji wote, ningefurahi wakichangia kwa mtazamo huo huo. Rais Magufuli anaogopwa, karibia na kila...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli, Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja na Ndugu Waziri...
4 Reactions
41 Replies
4K Views
Waziri Mkuu ametilia shaka barakoa kutoka nje kuwa tujishonee wenyewe. Kuna watu wanabeza hii kauli, Kuna wanaodhihaki hata kutoa kauli chafu, kuna wanaotetea hii kauli kwasababu tu imetolewa na...
6 Reactions
83 Replies
6K Views
Tanzania tumebarikiwa kuwa na awamu tano za uongozi toka tupate uhuru. Katika awamu zote kila rais amakuwa na mtindo wake wa kufikisha ujumbe kwa wananchi. Nyerere alitumia majukwaa matatu...
5 Reactions
41 Replies
3K Views
Nimekuona ukipambana na Wachina wanaojenga barabara ya Mwendokasi huko Mbagala , sasa Wachina wale wa Mwendokasi wana nafuu mno kuliko hawa wanaojenga mtaro wa maji ya mvua kuanzia kule kwenye...
19 Reactions
43 Replies
4K Views
Ameyasema hayo akiwa St. Peters katika Ibada alipopewa nafasi ya kutoa neno. VIDEO:
14 Reactions
316 Replies
19K Views
Back
Top Bottom