Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,471
- 23,744
Kwa jinsi ambavyo nmemsikiliza mh rais naona amewakaba vibaya mabeberu.hawa mabeberu wameshindwa kutuua,kutunyong'onyesha kwa njia zote sasa wanataka kutumia barakoa.
TFDA na TBS nadhani watakuwa wamewabana sana hawa waingiza barakoa fake zenye vijidudu,sumu,bakteria,virus,fungae n.k tena unaweza kuta zimewekewa hata HIV Virus ukiacha tu COVID Virus.
Tuzikatae. Nawausia madaktari hata wanapoenda fanyia watu operation wavae barakoa za vitenge na khanga kuonesha uzalendo. Na ziwepo barakoa zenye bendera ya taifa kabisa.
Wajasiliamali huu ni wakati wa kuwa wabunifu. Tengenezeni Barako zilizoandikwa VISITI CHATO-BURIGI NATIONAL PARK, SERENGETI,NGORONGORO,MIKUMI n.k.
Nyingine ziandikwe VISIT TANZANIA. Kuwaumiza zaidi Mabeberu. Mabeberu safari hii tumekamata korodans zao. Watatapa tapa sana hawatupati. Barakoa tumezishtukia.
Tuendeleeni kuvaa Barakoa kujikinga na vumbi,magonjwa ya mafua,kikohozi na pia upepo. Na pia tunawe kuepuka kipindupindu,magonjwa ya kuhara,kuharisha na mengine ya kuambukiza.
Tugomee barakoa zao ambazo sijui zinapoingizwa nchini wanaziingizia wapi. Sisi tukiamka tunazikuta tu madukani. Tuzikwepe hizi. Tutumieni za kwetu. Ili pia kuungishana. Mimi nimemwelewa sana Rais. Ukombozi safari hii tena kwa afrika unaanzia Tanzania. Wakati waafrika wengine wakianza kufa,kukosa nguvu za kiume,kukosa kuzaa,kukosa pesa,kukosa nguvu za kiuchumi sisi tutakuwa tunang'aa tu. Na watakuja kwetu wanawake zao wakitaka tuwazalishe. Watakuja kuomba tukafanye kazi kwao n.k