Mashujaa 3 ambao historia ya Tanzania haitawasahau kamwe

PRINCE CROWN

JF-Expert Member
Feb 12, 2013
5,211
4,169
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli, Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa.

Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa kwa Ajili ya Nchi yenu.

Nimejaribu kufuatilia ziara zenu na Hotuba zenu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid Hakika nimegundua nyinyi Mnastahili kuigwa Mfano kwa Kutuonyesha Njia na Kutuondolea Hofu Watanzania juu ya janga hili la corona.

Hakika Mmekua wahubiri wazuri kwenye kujaa Imani na Kutuonyesha Njia ya Kumtegemea Mungu katika kila hali.

Japo kuna baadhi ya Watu ambao Mungu Aliwapa Neema ya Kuwahubiria viumbe wake na kuwa Ambia habari za Matendo makuu ya Mungu lakini corona imeondoa Ujasiri wao kwa Mungu nakuona corona ni hatari zaidi na Mungu wanae muhubiri Anaweza mambo mengine ila Corona Hawezi.

Hapa tumepata funzo kubwa kwamba majaribu na Bonde la Uvuli wa Mahuti linapokuzonga ndipo Imani yako kwa Mungu inapojionyesha kwamba uko kwa Mungu Asilimia 100 au ndio mguu 1 Ndani na 1 Nje.

Inanikumbusha wakati wanafunzi walipokua na Yesu kwenye Boti na Mawimbi yakaanza kukipiga chombo ndipo Imani yao ilipothibitika kwamba Pamoja kwamba wako na Yesu lakini hawakumwamini kwamba Anaweza kuwasaidia wasifie baharini, Yesu Mwenyewe Alipo Amka wanafunzi wake walidhani Atafadhaika kama wao lakini Yesu Aliwakemea juu ya Upungufu wa Imani yao kwake.

Jana Ndugu Rais Aliongea Neno Ambalo lilinitafakarisha sana kama Kiongozi.

Kwamba Mimi mnaoniona sija vaa Barakoa, na nipo na wasaidizi Wangu Ambao kila siku urudi makwao na Kukutana nafamilia zao na familia zao ufanya matembezi na kukutana na makundi ya watu mbona siogopi?

Akaongezea sio kwamba Mimi siogopi kufa lakini ni lazima tujue Mungu Akitaka Uondoke Hata Malaria,Ajali,kansa,sukari vinaweza kuutoa uhai wako, zaidi tumtegemee Mungu kwa kila hali.

Watu wengi hawakumwelewa Rais ila Rais Alionyesha Spirit ya Kuwa kiongozi.

Kiongozi wa kweli Yupo tayari kuhatarisha Maisha Yake kwa Ajili ya Anaowaongoza. Watu kama hawa dunia ya sasa ni wachache Mno.

Nimalizie kwa kusema Hakuna Mwenye Nguvu kuliko Mwenyezi Mungu. Alituwezesha tukaishi na corona Mwaka mzima lakini kuna Maali Watanzania tumeanguka.

Maovu yamekua mengi. Dhambi imefungua Mlango wa haya tunayo yaona na kuyasikia.

Usijidanganye kwamba Barakoa au kupiga nyungu na kuchukua tahadhari ndio utaokoka na corona.

Kumbuka Dhambi ndio mbaya kuliko hata corona.

Kama Watanzania tutaacha maovu na kumtafuta USO wa Mungu kwa siku hizi 3 Mungu Ataturehemu na Kutuondolea Mabaya haya.

Ndugu Rais. Na Naibu wake pamoja na Waziri MKUU Tunajivunia na Ninyi ndio Kielelezo kwa Taifa hili. Msirudi nyuma Tupo nyuma yenu.
 
Come up with something better than this.
Muda utaamua. Tusianze kujudge mapema. Nilikuwa nakasirika sana napoona kodi zinakuwa kubwa na hazilipiki. Ila nikitembea tembea naanza kuona mabadiliko. Miji inatengenezwa. Inaanza kuwa safi. Heshima inaanza taratibu kuwepo. Dalili ya mvua ni mawingu. Na kiza kinene kinaashiria karibia kunakucha...Muda utasema yote. Tuyape haya mambo muda.

Mitano tena
 
Mkuu, kama wakati huu wa awamu ya tano kungalikuwa na uhuru kamili wa mtu kutoa maoni ama ule wa vyombo vya habari kama ilivyokuwa katika siku za urais za wanadiplomasia Mkapa na Kikwete, sijui kama leo hii ungalikuja na mada kama uliyoiandika.
 
..mbona analindwa na silaha nzito-nzito na helikopta kila anapokwenda?

..halafu umeona ule mtambo wa hewa ambao unawekwa karibu naye ktk kila mkutano anaohudhuria?
 
We jiongeleshe tuu kama hamnazo. Hili dubwasha likikukamata hutaletewa chakula hospitali na CCM wala Bashiru hatakununulia mtungi wa gesi! Likipitia ndugu au mpendwa wako ndo utaelewa kwa nini watu wanapambana kupigania uhai.

Wewe unaleta siasa nyepesi kama hizi kwenye uhai wa watu? We unadhani wanaoondoka familia zao anazitunza nani? Wanaokufa ni watu kama wewe na mimi. ukiwachoma msumari wanavuja damu. halafu just from nowhere..unaleta utani na siasa za kuabudu watu hapa. Kama JPM anafanya kazi nzuri..anafanya wajibu wake. ndo kazi aliomba kwa wananchi. kama haamini kwamba Corona ipo.

Basi atuache sisi tupaganie Maisha yetu na wapendwa wetu. Yeye mbona kila sehemu anatembea na majeshi na bunduki? Kama anaamini Mungu yupo wanajeshi wa nini sasa? Huyu Mzee atuache..wengine tumeshapoteza watu wetu wa karibu. Tunaugulia maumivu tuu hapa.

Muache mzaha kwenye mambo serious!

Umenikera sana na hii post. hata wewe ukiisoma tena utagundua umeyumba wapi.
 
Amani ya Mwenyezi Mungu Iwe Pamoja Nanyi. Katika history ya Nchi hii Ndugu Rais wa Jamhuri ya Tanzania Ndugu John Pombe Magufuli. Ndugu Naibu wa Rais Mama Samia S Hassani Pamoja Na Ndugu Waziri Mkuu Majaliwa K Majaliwa.

Hakika History ya Nchi hii itawataja kwa Ushujaa wenu na kujitoa hata kufa kwa Ajili ya Nchi yenu.

Nimejaribu kufuatilia ziara zenu na Hotuba zenu hasa katika kipindi hiki kigumu cha Covid Hakika nimegundua Ninyi Mnastahili kuigwa Mfano kwa Kutuonyesha Njia na Kutuondolea Hofu Watanzania juu ya janga hili la corona.

Hakika Mmekua wahubiri wazuri kwenye kujaa Imani na Kutuonyesha Njia ya Kumtegemea Mungu katika kila hali.

Japo kuna baadhi ya Watu ambao Mungu Aliwapa Neema ya Kuwahubiria viumbe wake na kuwa Ambia habari za Matendo makuu ya Mungu lakini corona imeondoa Ujasiri wao kwa Mungu nakuona corona ni hatari zaidi na Mungu wanae muhubiri Anaweza mambo mengine ila Corona Hawezi.

Hapa tumepata funzo kubwa kwamba majaribu na Bonde la Uvuli wa Mahuti linapokuzonga ndipo Imani yako kwa Mungu inapojionyesha kwamba uko kwa Mungu Asilimia 100 au ndio mguu 1 Ndani na 1 Nje.

Inanikumbusha wakati wanafunzi walipokua na Yesu kwenye Boti na Mawimbi yakaanza kukipiga chombo ndipo Imani yao ilipothibitika kwamba Pamoja kwamba wako na Yesu lakini hawakumwamini kwamba Anaweza kuwasaidia wasifie baharini, Yesu Mwenyewe Alipo Amka wanafunzi wake walidhani Atafadhaika kama wao lakini Yesu Aliwakemea juu ya Upungufu wa Imani yao kwake.

Jana Ndugu Rais Aliongea Neno Ambalo lilinitafakarisha sana kama Kiongozi.

Kwamba Mimi mnaoniona sija vaa Barakoa, na nipo na wasaidizi Wangu Ambao kila siku urudi makwao na Kukutana nafamilia zao na familia zao ufanya matembezi na kukutana na makundi ya watu mbona siogopi?

Akaongezea sio kwamba Mimi siogopi kufa lakini ni lazima tujue Mungu Akitaka Uondoke Hata Malaria,Ajali,kansa,sukari vinaweza kuutoa uhai wako, zaidi tumtegemee Mungu kwa kila hali.

Watu wengi hawakumwelewa Rais ila Rais Alionyesha Spirit ya Kuwa kiongozi.

Kiongozi wa kweli Yupo tayari kuhatarisha Maisha Yake kwa Ajili ya Anaowaongoza. Watu kama hawa dunia ya sasa ni wachache Mno.

Nimalizie kwa kusema Hakuna Mwenye Nguvu kuliko Mwenyezi Mungu. Alituwezesha tukaishi na corona Mwaka mzima lakini kuna Maali Watanzania tumeanguka.

Maovu yamekua mengi. Dhambi imefungua Mlango wa haya tunayo yaona na kuyasikia.

Usijidanganye kwamba Barakoa au kupiga nyungu na kuchukua tahadhari ndio utaokoka na corona.

Kumbuka Dhambi ndio mbaya kuliko hata corona.

Kama Watanzania tutaacha maovu na kumtafuta USO wa Mungu kwa siku hizi 3 Mungu Ataturehemu na Kutuondolea Mabaya haya.

Ndugu Rais. Na Naibu wake pamoja na Waziri MKUU Tunajivunia na Ninyi ndio Kielelezo kwa Taifa hili. Msirudi nyuma Tupo nyuma yenu.
Haya umeeleweka
 
WHERE DO YOU GET THESE JOKES???🤣🤣🤣🤣🤨🤨😃😃
 
Back
Top Bottom