"Siku hizi kila kosa mtu anakamtwa tu bila hata ya kibali na hakuna mtu anayepinga na ukipeleka hoja hiyo mahakamani kuwa ulikamatwa bila sheria haitazingatiwa," Dkt James Jesse, Mhadhiri Chuo...
Kwa mujibu wa mchakato wa utafiti wa kisayansi, bila kuchukua vipimo kwa ajili ya kuthibitisha usahihi wa rai (hypotehsis) kwamba Tanzania kuna UVIKO ni vigumu kukanusha usahihi wake.
Taifa...
President Cyril Ramaphosa has appointed members of the Presidential Economic Advisory Council with effect from 1 October 2019.
The Council was announced by President Ramaphosa in the State of the...
Kama zama hizi ambazo dunia haina tena ukoloni, ubaguzi kama ule wa Afrika ya Kusini na ukandamizaji mwingine.
Je, hawa Mabeberu anaopambana nao Magufuli ni akina nani?
Tunaomba Mataga mtutajie...
Nchi yetu sasa inaanza kupitia kipindi kigumu sana kama ilivyotabiriwa na wale tulioitwa waleta taharuki. Hakika ni kipindi cha buriani. Kwa tuliofuatilia kwa kina tabia za gonjwa la korona...
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo kabla ya uteuzi wake kutenguliwa na Rais Magufuli, Dkt. Charles Tizeba ametoa ushauri kwa viongozi kukubali kukosolewa ili kuweza kufanya mambo kwa usahihi na...
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye amesema kuna changamoto kubwa ya biashara nyingi kufungwa na hili ni kutokana na Serikali kutotumia Wanataaluma katika kukusanya kodi.
Mafanikio...
Tunazidi kupoteza nguvu kazi ya taifa! Hii siyo habari njema hata kidogo! Wizara ya afya, funga shule na vyuo. Watoto na vijana wanapata sana covid lakini, haina madhara makubwa kwao!
Covid...
Si sahihi kwa Mkuu wa Nchi kuingilia mambo ya kiimani na kiroho ya wananchi wake. Wapo watu maalum wapo kwa kazi hiyo. Yeye kazi yake ni kuangalia maslagi ya kimwili ya wananchi wake!
Ni hatari...
Hon. Dr. Charles John Tizeba
Member Type : Constituent Member
Constituent : Buchosa
Political Party : CCM
Phone : +255766603141
P.O Box : P.O Box 11689, Mwanza
Email Address : c.tzeba@bunge.go.tz...
Leo Mheshimiwa Charles Tizeba ameuliza swali bungeni kwa mara ya kwanza tangu uteuzi wake wa uwaziri utenguliwe na dkt John Pombe Magufuli. Kitu kilichonishangaza sana na makofi mengi aliyopogiwa...
Mseven adressing the nation
======
Rais Yoweri Museveni amewaonya wananchi wanaoenda kinyume na taratibu wakati huu wa vita dhidi ya #CoronaVirus akisema, Mungu ana kazi...
Kwa yanayoendelea na minong'ono ya eneo takatifu sana hapo Tanzania, wanagundua kuna makosa walifanya dhidi ya Mbunge aliye kuwa waziri wa mambo ya ndani Mwigulu Nchemba
Wengi wanasema walishauri...
Naendelea kukiri kwamba Magufuli ni miongoni mwa marais wachache sana wanaofanya kazi ya uhakika hapa Afrika hilo halipingiki kabisa
Ukiangalia Marais 5 wa mwanzo kwa uchapakazi yeye kama hashiki...
Taarifa kutoka Kanda ya Pwani ambayo imetolewa na Katibu wa Kanda hiyo Hemed Ally inaeleza kwamba Mh Lukumai amefariki katika Hospitali ya Taifa Muhimbili kutokana na Matatizo ya Upumuaji.
Mh...
Kuna watu humu jukwaani wamekuwa wapotoshaji wakubwa juu ya mgogoro unaoendelea kati ya Rais wetu na baadhi ya wazungu ambao hawana nia njema na nchi yetu.
Kuna watu bila huruma na nchi yao...
WAKATI moto wa sakata la utata wa kampuni ya kitapeli ya Richmond ukiendelea kuwaka, huku Bunge likisubiri kwa hamu hatua zitakazochukuliwa dhidi ya watuhumiwa, bomu jingine la ufisadi mkubwa...
Jimbo la Vunjo lilishuhudia mabadiliko ya mbunge aliyekuwepo Ndg James Mbatia ambaye alikataliwa na wananchi kwa sababu ya kuwatelekeza na kushindwa kuwasemea masuala yao ndani ya bunge.
Uchaguzi...
Picha zinajieleza.
Nimekuwa nikifikiria sana kuhusu viongozi wetu. Kwenye matukio mengi wameonekana nyuso zao zikiwa uchi kabisa. Hawana barakoa. Wakiongozwa na Rais mwenyewe,mawaziri na wakuu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.