Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Gavana Ndullu aliingia ofisini mwaka 2008 akichukua nafasi ya Balali wakati huo Us$1 ilikuwa sawa na tshs 1100/= leo hii us$ 1 ni sawa na tshs 2182/= na haonyeshi kuwa anazo mbinu mpya za...
22 Reactions
317 Replies
40K Views
Naona MSD wanahamasisha tununue barakoa za ndani lakini kimwonekano zinafanana na zile za majuu kuanzia size,rangi na kila kitu. Najiuliza hizi barakoa zinazalishwa kwa malighafi za ndani au...
7 Reactions
15 Replies
2K Views
Watanzania wanahitaji katiba mpya maana wanajua fika mwarobaini wa matatizo yao. Katiba mpya ndio itayokata mzizi wa fitina wa kila shida inayowakabili Watanzania. Mfano tunataka Katiba ambayo...
17 Reactions
51 Replies
5K Views
Waziri wa Afya Dk Gwajima azindua dawa ya Asili ya Corona waweza itengeneza mwenyewe nyumbani MCHANGANIKO WA DAWA LISHE NA MITI DAWA KWA AJILI YA TIBA YA KORONA Namna ya kuandaa DAWA LISHE...
16 Reactions
254 Replies
68K Views
Mabibi na mabwana hapa pana waraka toka kwa wenye udau katika dhamana ya ulinzi wa afya za watu duniani tunamojumuika sisi kama taifa. Wadau hawa wamekuwa na malalamiko na hata maonyo kufuatana...
3 Reactions
93 Replies
6K Views
Ilani ya CCM, Sura ya 10, Ibara ya 251,(e), Uk.299. Hatua nyingine muhimu kwa Chama katika kusimamia utekelezaji wa Ilani ni kuhakikisha kuwa, Chama kinatenga siku maalum kila wiki ili kusikiliza...
-1 Reactions
20 Replies
2K Views
Chama kikishamvua uanachama mbunge hatua inayofuata ni kulitaarifu bunge juu ya uamuzi huo na Spika akisharidhika anaiandikia tume kuwa nafasi husika iwazi ili tume ya uchaguzi ifanye utaratibu wa...
3 Reactions
55 Replies
5K Views
Baada ya kifo cha Maalim Seif Sharrif Hamad, swali linalogonga vichwa vya watu hivi sasa ni nani atakayekuwa Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar? Chama cha ACT-Wazalendo sasa kipo kwenye mtihani...
3 Reactions
56 Replies
6K Views
Kwa ujumla sitaki kujikita zaidi kuelezea juu ya namna gani utendaji kazi mzuri wa serikali ya awamu ya tano umeweza kuleta mabadiliko katika ukusanyaji mapato, kudhibiti mianya ya rushwa na...
1 Reactions
21 Replies
2K Views
Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema mabadiliko katika #Sheria ya Madini hayakuwa na nia ya kuwaonea Wawekezaji, bali yalilenga kuweka mazingira yenye kutoa taswira yenye uwiano katika mgao...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
JUMAMOSI, MACHI 02, 2013 07:00 NA MWANDISHI WETU, DAR ES SALAAM *Aagiza polisi iwachukulie hatua stahiki wahusika *Awataka wakuu wa mikoa, wilaya kusimama kidete RAIS Jakaya Kikwete...
1 Reactions
108 Replies
10K Views
Aliyekuwa Waziri wa Kilimo, Mifugo na Uvuvi, Ndugu Charles Tizeba ametajwa kuitia serikali hasara ya zaidi ya Shilingi Bilioni 5 kutokana na uamuzi wake wa kusitisha zoezi la utoaji leseni za...
3 Reactions
64 Replies
8K Views
Mkurugenzi mkuu wa Shirika la Afya Ulimwenguni, Tedros Adhanom Ghebreyesus, amesema WHO haijapokea taarifa yoyote kutoka Tanzania juu ya hatua zinazochukuliwa na serikali kuhusiana na janga la...
13 Reactions
106 Replies
8K Views
Kwa mujibu wa gazeti la mwananchi la leo, msafara wa waziri wa mambo ya ndani mh. Nahodha umepigwa mawe na vijana wa huko tunduma. Kisa ni kwamba vijana hawakufuruhishwa na kitendo cha kumuona...
8 Reactions
101 Replies
12K Views
Hatimaye Kikwete Afanya Kweli Aagiza Nyumba za Serikali Zilizouzwa Zirejeshwe Na Mwandishi Wetu Rais Jakaya Kikwete ameanza mchakato wa kuhakikisha nyumba za serikali zilizouzwa kwa...
1 Reactions
265 Replies
41K Views
Mhadhiri wa Shule ya Sheria ya Chuo Kikuu cha Dar es Salaam Dkt. James Jess amefariki dunia ghafla akiwa nyumbani kwake Tabata Jijini Dar es Salaam mchana wa leo. Aidha, Dkt. James Jess alikuwa...
5 Reactions
76 Replies
18K Views
RC RUVUMA APANDWA NA JAZBA, AMKUNJA MTUHUMIWA: Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Christina Mndeme aliposhindwa kuzuia jazba yake na kumkunja mtuhumiwa wa wizi wa mafuta ya dieseli lita 700 anazodaiwa...
1 Reactions
28 Replies
6K Views
Rais Magufuli amesema kuwa Rais ni kazi ngumu sana kwa sababu wewe unaweza kupanga mipango hii kumbe wenzako nao wana mipango mingine. Rais Magufuli amewataka viongozi wa CCM wamsaidie kufuatilia...
5 Reactions
103 Replies
10K Views
Mkristo unamwambia Askofu Mwamakula kuwa asichanganye dini na siasa?! Hujui kuwa kesi ya Yesu ilikuwa ni ya kisiasa? Hujui kuwa kesi ya Mtume Paulo ilikuwa ni ya kisiasa? Hivi haujui kabisa kuwa...
17 Reactions
27 Replies
3K Views
Back
Top Bottom