Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naona mzee katupia magwanda huenda anaenda hapo Monduli kwa shughuli za kijeshi. Any way, spika amekataliwa live mbele ya Rais Magufuli.
16 Reactions
145 Replies
23K Views
Mabibi na mabwana, kumekuwa na habari hii kuwa ugonjwa huu ni vita vya kiuchumi. Tena mlengwa ni Tanzania. Habari hizi zimeendelea kuwapo ikisisitizwa kuwa vita vya uchumi ni ngumu zaidi kuliko...
10 Reactions
65 Replies
5K Views
NAIROBI, Kenya (AP) — Tanzania’s COVID-denying president is calling on citizens for three days of prayer to defeat unnamed “respiratory diseases” amid warnings that the country is seeing a deadly...
7 Reactions
116 Replies
7K Views
Magufuli na “maparoko wake” wana kesi ya kujibu Ansbert Ngurumo | 21st February 2021 Nimemsikiza Rais John Magufuli akihutubia waamini leo katika Kanisa la Mt. Petro, Dar es Salaam, na nimebaini...
104 Reactions
289 Replies
26K Views
ACT-WAZALENDO (ALLIANCE FOR CHANGE AND TRANSPARENCY) TAARIFA KWA UMMA NA VYOMBO VYA HABARI MUALIKO WA KUHUDHURIA DUA MAALUMU YA KUMUOMBEA KIONGOZI WETU MAALIM SEIF SHARIF HAMAD (RAHIMAHULLAH)...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
SGR NDIO MWAROBAINI KATIKA KASI YA UCHUMI WA TANZANIA. Na Elius Ndabila 0768239284 Standard Geuge Railway (SGR) ni reli ya kisasa ambayo hutumia umeme. Ujenzi wa reli hii ya kisasa ya SGR...
0 Reactions
10 Replies
3K Views
Heshima kwenu wakuu naomba kuwasilisha wazo langu kama ifuatavyo. Binaadamu kwa kawaida tumekuwa na kusumba mbaya sana, ya kuwasifia watu pindi wanapofariki, na hata kuonyesha upendo...
0 Reactions
3 Replies
792 Views
Tanzania imesema haijapuuza hatua za kisayansi katika kupambana na #COVID19 na haijajitenga na dunia katika jitihada za kutafuta suluhisho la Ugonjwa huo. Hata hivyo, imeelezwa kuwa, Tanzania...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Waziri wa kilimo Prof Mkenda amesema kuanzia kesho wataanza kumwaga viatilifu vya kuuwa nzige katika wilaya ya Longidi na Simanjiro kwa kutumia ndege. Shule zitafungwa kwa muda wa siku nne na...
5 Reactions
34 Replies
4K Views
Kama moja ya hatua ya kupambana na Covid-19 nchi ya Oman imezipiga marufuka nchi zipatazo 12 kufika kwao Tanzania ukiwemo. Ikumbukwe kwamba Tanzania na Oman zina uhusiano wa karibu sana hususan...
11 Reactions
104 Replies
7K Views
Nimefuatilia ziara ya Naibu waziri Silinde wa Tamisemi na hasa mkoani Mtwara, kwa kweli madudu ni mengi sana. Najiuliza tu mbona waziri Jafo alikuwa anatamba sana kwa kujenga madarasa na zahanati...
1 Reactions
37 Replies
5K Views
Sisi Watanzania wazalendo tuliposikia utadili na hawa wazandiki wanotumia Twitter kupotosha habari na kutukana viongozi, mh Waziri tulitarajia leo hii wale wazandiki nguli uwe umeshawadaka. Maana...
6 Reactions
41 Replies
3K Views
Mradi wa Tushirikishane (JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane") umeanza rasmi jimbo la Bukoba mjini chini ya Uongozi wa Mheshimiwa Mbunge Wilfred Lwakatare. Tokana na misingi ya...
8 Reactions
852 Replies
132K Views
Sitaki kusema mengi. Corona Kama ilivyokuwa kwa ndui, surua, tetekuwanga, ufumbuzi wake, haupo mbali. Na bila shaka, udhibiti wake utachukua muda mfupi kutokana na ushirikiano mkubwa miongoni mwa...
14 Reactions
80 Replies
6K Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Dkt. Angelina Mabula amewataka Wakurugenzi wa Halmashauri za Mkoa wa Songwe kwa kushirikiana na wakuu wa Idara ya Ardhi kwenda kukusanya...
0 Reactions
8 Replies
984 Views
Hii ni baada ya kuliambia bunge kwamba hali ni tete hasa baada ya mapato kwenye sekta ya madini kupungua kutokana na baadhi ya makampuni kusitisha uchimbaji , Ukosefu wa Ajira mpya katika nchi na...
133 Reactions
391 Replies
55K Views
Wahenga wanasema tembea uone. Ndio maana hata mzee Mwinamila alipokuwa hai aliwahi kutunga wimbo akimwambia Mwl Julius Nyerere atembee aone ili ajionee kwa macho yake nchi anayoitawala na watu...
3 Reactions
42 Replies
5K Views
Angalau serikali imeanza kurudi kwenye chati. Kulikuwa na madai na maoni mbali mbali kuhusu changamoto wanazopitia walimu wa sayansi, miongoni mwa changamoto hizo ni pamoja na mzigo mkubwa wa...
9 Reactions
156 Replies
24K Views
Kama nchi tunaendelea kulumbana kuhusu Covid-19. Hatujapata muafaka bado na tuna makundi mawili makubwa. Kuna mambo ambayo yanaendelea lakini ni kwa kipindi kifupi na kwa gharama kubwa ya maumivu...
2 Reactions
9 Replies
1K Views
Hebu twende kikatiba zaidi tuone Dhana nzima ya uteuzi ,je ni ACT WAZALENDO au RAIS WA ZANZIBAR ndio mwenye mamlaka ya kuteua Makamo wa Kwanza wa Rais? Twende kikatiba zaidi, Ibara ya...
2 Reactions
22 Replies
3K Views
Back
Top Bottom