Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Elius Ndabila 0768239284 Jana baada ya Balozi Dkt Bashiru kuteuliwa na Mhe Rais kuwa Katibu Mkuu kiongozi kuchukua nafasi iliyoachwa wazi na Balozi Kijazi aliyefariki kumekuwa na maneno mengi...
2 Reactions
12 Replies
1K Views
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mbunge wa milele wa Iringa Mjini ataongea na wapiga kura wake Jumapili hii tarehe 5/1 /2020 Njoo usikilize hoja za mbunge wako ambapo utapata nafasi ya kumweleza kero...
8 Reactions
34 Replies
6K Views
Nimesoma na kusitikishwa na orodha iliyotolewa na Wizara ya fedha kutoka KIKOSI KAZI kilichoundwa kufatikia magwiji yaliyo piga pesa kutoka wizara ya fedha hapo. Kwanza nmeskitika kuona kundi la...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
Mbunge wa jimbo la Vunjo Mhe Dkt Charles Stephen Kimei ameongoza kikao cha kamati ya mfuko wa maendeleo ya jimbo hilo kilichosimamia ugawaji wa fedha kwa miradi mbalimbali ambayo imeibuliwa na...
0 Reactions
0 Replies
616 Views
Wanabodi,wengi watakua wameshtushwa na uteuzi wa Dr. Bashiru ambae ni Katibu Mkuu wa CCM kupewa wadhifa wa Katibu Mkuu Kiongozi,ila sidhani kama jambo hili limefanyika kwa bahati mbaya!!! Kabla...
4 Reactions
35 Replies
6K Views
Habari wakuu, kumekuwa na malalamiko mengi kuhusiana na mweshimiwa kujichimbia Wilayani Chato Kwa muda sasa, maneno ni mengi, wengine wanadai kakimbia Corona wengine wanadai mzee kaenda kupumzika...
1 Reactions
26 Replies
6K Views
Rais Magufuli anazungumza na watanzania kupitia mkutano wake na wananchi wa Dar es salaam. Tukio liko mubashara katika runinga zote Updates; Waziri Bashungwa: Nimesimama hapa mheshimiwa Rais...
5 Reactions
54 Replies
6K Views
CCM mara zote ina tamaduni zake. Usipojua tamaduni hizo basi utaishia kuwa mtu wa matamko tu. Katika Makatibu Wakuu waliopita wa CCM Dr. Bashiru ndio naweza kusema ame-underperform. Kwake yeye...
4 Reactions
32 Replies
4K Views
Rais wa JMT ameyasema hayo wakati akizungumza na watanzania kupitia hadhara iliyokusanyika jana viwanja vya mnazimmoja. Rais Magufuli amesisitiza kuwa kwa sasa hapa Tanzania kuna vyombo vingi vya...
2 Reactions
88 Replies
6K Views
Baada ya Rais kulivunja jiji la Dar, nini hatima ya meneja wa Tanesco mkoa wa Kinondoni, Ilala, na Temeke? Nini hatima ya RPC mkoa wa Kinondoni, Ilala na Temeke? Nini hatima ya meneja wa TRA mkoa...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
Mwaka 2015 niliandika habari iliyochapishwa na Gazeti la TAZAMA “Magufuli kama Nebukadneza mkuu wa dola ya Babeli” nairudia tena baada ya kusoma Gazeti la RAIA MWEMA. Mwandishi MWANA KIJIJI...
4 Reactions
6 Replies
2K Views
Rais Magufuli ameitaka TRA kuacha kuwabambikia kodi wafanyabiashara na badala yake watoe makadirio ya haki. Rais Magufuli amesema tabia ya kubambika kodi inawafanya wafanyabiashara washindwe...
2 Reactions
51 Replies
4K Views
Meatu-Simiyu KOMRED MPOGOLO AWAONGOZA WAOMBOLEZAJI MAZISHI YA MWENYEKITI WA CCM MKOA WA SIMIYU. Naibu Katibu Katibu mkuu wa CCM Bara, Komred Rodrick Mpogolo amewaongoza maelfu...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Rais John Magufuli leo amemwambia Mbunge wa Temeke kuwa Serikali haitatoa fedha kulipa deni la miaka ya nyuma ya Manispaa hiyo kwa Benki ya CRDB Dkt. Magufuli ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge...
5 Reactions
50 Replies
8K Views
Kila mmoja katika nafasi yake, japo kwa viwango tofauti, amewahi kufanya kosa. Umadhubuti wa kiongozi haupo katika kutofanya kosa bali katika kutafuta suluhisho sahihi baada ya kufanya kosa...
58 Reactions
121 Replies
8K Views
Jana Mh Rais John Pombe Magufuli alizindua jengo litakalotumika kama studio ya redio na televisheni (Chanel Ten na Magic FM) gharama za ukarabati umegharimu kiasi cha Sh 700. Milioni. Na leo Mh...
1 Reactions
2 Replies
795 Views
Ukiangalia Watanzania wa hali ya chini tangia zamani walizoea kuonewa sana na walizoea kabisa hayo maisha, lakini amekuja John Pombe amewafungua macho hawa watu duni na kuwaambia kuwa mlikuwa...
9 Reactions
65 Replies
7K Views
Kimsingi Serikali ya Jamhuri ya Muungano Tanzania haitokani na Serikali yenyewe bali inatokana na wananchi. Watanzania ndiyo wenye Serikali na siyo Serikali ndiyo inawamiliki watanzania. Serikali...
36 Reactions
66 Replies
6K Views
Mh rais wewe ni mkuu wa taifa letu, na taifa letu linaendesha kwa misingi ya kuilinda na kuiheshimu katiba ya JMT. Ibara ya 13 (6)(b) ya katiba ya JMT imetamka wazi kuwa hakuna mtu atakutwa na...
2 Reactions
11 Replies
2K Views
Wakuu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hapo juu ,naomba kwa anayeelewa huyu katibu wetu wa chama anatokea mkoa gani au na yeye anatokea kanda maaalum ? Maana matamko yake yanafanana na watu...
7 Reactions
105 Replies
31K Views
Back
Top Bottom