Waziri wa fedha kupitia kikosi kazi chako hii kazi hamuiwezi nipeni mimi muone!

sifi leo

JF-Expert Member
Mar 30, 2012
5,013
8,369
Nimesoma na kusitikishwa na orodha iliyotolewa na Wizara ya fedha kutoka KIKOSI KAZI kilichoundwa kufatikia magwiji yaliyo piga pesa kutoka wizara ya fedha hapo.

Kwanza nmeskitika kuona kundi la wanasiasa ndo mnaongoza kupiga hizo pesa.

Pili nimeskitika kabsa KUNA baadhi ya watu hapo Wizara ya fedha waliuska kwa asilimia 100. Kutoa hizo fedha kwa hao jamaa,na wakati mchakato ndio hao hao waliuska,kama haitoshi walikula RUSHWA za kutosha ili wakamilishe huo upigaji Het leo ndo wamekwa kwenye KIKOSI KAZI.

kama haitoshi kikosi kazi hiki uku kikijua nini kinaendelea kimeandaa NOTISI KWA WAPIGAJI HAO,AMBAYO HAINA TIME FRAME KWA MAKUSUDI ILI wanendelee kuwapa muda.

Sasa nakuomba wazir wa fedha kwa kuwa kampuni yangu ina leseni iliyotoka hapo hapo kwenu ya kufatilia madeni ninaomba nipewe HIYO KAZI nipambane na Mtani wangu Stivini Wasira,nipambane na MAKABACHORI MWONE KAMA HAMJALIPWA.

na ninawambie tu tangu tangazo limetoka wote wamekimbilia kwa mawakili wao maana hakuna hata mmoja ambae alijua kaburi hili litafukuliwa.

WASIRA tu nimemuona hapa Bunda na pc ya Rais,na waziri Mpango anaelekea kwa Bibi yake kuwashitaki.
 
Waziri mpango tayari ameshalisoma bango lako na tayari amekuandalia mpango ila anashindwa afanye mpango gani ili akuingize kwenye huo mpango maana hata hili jina lako limekaa kimipango
 
Waziri mpango tayari ameshalisoma bango lako na tayari amekuandalia mpango ila anashindwa afanye mpango gani ili akuingize kwenye huo mpango maana hata hili jina lako limekaa kimipango
Jina halina shida mkuu
 
Back
Top Bottom