Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Mimi nawashangaa baadhi ya watu wanaosema huyu jamaa ni mtendaji mzuri,.mara sio fisadi. hakuna kitu ni mnafiki tu ANASHINDWAJE KUSIMAMIA SHERIA ILI waliojenga majengo TANESCO Mikocheni hadi...
3 Reactions
38 Replies
6K Views
1. Wote Ni wanazuoni wanaoheshimika wametumikia taaluma zao vema. 2. Ni wazalendo haswa wanaijua nchi vizuri. 3. Wote ni ma fans wa Magufuli..bila Magufuli kuwaibua wasingefahamika. 4. Wasema...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Musoma. Naibu Waziri wa Nishati, Stephen Byabato amewataka watumishi wa umma wasiopenda ilani ya Chama cha Mapinduzi kuacha kazi mara moja kwakuwa kufanyakazi ya umma huku wakichukia ilani hiyo ni...
1 Reactions
45 Replies
5K Views
Kuna upotoshaji mbaya sana unaofanywa na watu wasio na nia njema na taifa hili na kusababisha taharuki kwa watanzania. Mtandao wa Twitter unatumika vibaya sana na watu ambao ni wapuuzi na siku...
1 Reactions
137 Replies
9K Views
Sakata la kanisa lililoripotiwa kupiga muziki mkubwa sana masaa 24 na lililojengwa katikati ya barabara , limeingia sura mpya baada ya serikali kuchukua hatua na kulizuia kuendelea kujengwa na...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
26 Februari, 2021 TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI MAJALIWA: TUMEDHAMIRIA KUWEKEZA KATIKA ELIMU YA MTOTO WA KIKE WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amekagua ujenzi wa mradi wa shule maalumu ya sekondari...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Wasalaam wakuu, Nimemkumbuka tu huyu kiongozi aliyekuwa RC wa Morogoro hasa kwa alivyolalama vile alivyovuliwa uRC ilikuwa ni kama maisha yake yalikuwa yashindwe kwenda.
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Unachambua mchele ukitegemea kuona mawe kwa kutumia taa ya kandili ujue unaumiza macho. Maana ina mwanga hafifu tofauti na stima. Je, ni rahisi kuibananisha na kisha kuihukumu Serikali...
1 Reactions
15 Replies
2K Views
Ukisoma Rasim ya Warioba iliyobeba maoni ya Watanzania unafarijika. Swali Ccm mnogopa nini katika Rasim iyo?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Kiongozi wetu mstaafu Ally H Mwinyi amekuwa haonekani katika hadhara. Na hii sio kawaida yake. Kama kiongozi mstaafu wa taifa tunapaswa kupewa taarifa zake. Maana tumezoea kwenye matukio mengi...
1 Reactions
55 Replies
4K Views
Kuna kipindi Watanzania walijenga kasumba mbaya sana. Kwamba kila mradi wa serikali ukifanyika lazima watu wapige dili na kisha wao kuporomosha majumba na kununua magari ya kifahari. Awamu hii...
4 Reactions
33 Replies
3K Views
Je, inawezekana Mkurugenzi Mkuu wa Tanesco akawa pia ni Katibu Mkuu wa CHADEMA? Je, Mtumishi wa Umma anapoingia kwenye siasa anaendelea kuwa mtumishi wa Umma? Je, Mtumishi wa Umma anayekuwa pia...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Nafuatilia kuhusu mataifa kutuma vyombo kuichunguza Mars, naona Japan nao wametuma. Sina hakika ila India nao nafikiri wanajiandaa kwa hilo, Waarabu pia nilipewa taarifa kuwa wanafikiri kufanya...
2 Reactions
20 Replies
1K Views
Serikali yetu ya awamu ya tano chini ya Rais Magufuli ni serikali ya vitendo kwa,ni kweli serikali zote za nyuma nazo zilifanya kazi huwezi kubeza,ila awamu ya tano ilihitaji Rais kama huyu tuliye...
3 Reactions
40 Replies
3K Views
Kufuatia kuchaguliwa kwa katibu Mkuu kiongozi Dr Bashiru ni wazi sasa watumishi wa umma hamna mtetezi tofauti na alivyokuwa kijazi. Huyu bwana ni mtu wa ndio Mzee sasa wakuu wa tasisi za serikali...
11 Reactions
20 Replies
4K Views
Naandika uzi huu kwa nia nzuri kabisa ya kuwasilisha ushauri kwa Ndg Bernard Membe aliyekuwa Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki na Mbunge wa Jimbo la Mtama Mkoani Lindi...
0 Reactions
13 Replies
2K Views
Ni wazi kwamba Gwiji la siasa za Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad amefariki ( Apumzike kwa amani ) lakini ikumbukwe kwamba Zanzibar bado ingalipo na itaendelea kuwepo. Sasa bila shaka Katiba ya...
22 Reactions
120 Replies
22K Views
Rais Magufuli ameandika katika mtandao wa Twitter kuwa amesikitishwa na kifo cha Jaji Mstaafu Harold Nsekela. "Nimesikitishwa na kifo cha Kamishna wa Maadili, Jaji Mstaafu wa Mahakama ya Rufani...
2 Reactions
33 Replies
7K Views
Toka mwaka 1970 hadi leo yupo..
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Kwa sasa imekuwa ni vigumu sana kuwaona na hata kuwasikia viongozi wetu wakuu wa upinzani katika matukio muhimu. Kwa mfano katika shughuli muhimu kama msiba wa balozi Kijazi au katika tukio la...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Back
Top Bottom