Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Hiki chama kinachotawala hapa nchini kwetu kina mtandao mpana sana. Hii ni kwa mujibu ya historia yake na jinsi kilivyojijenga kisiasa. Ndio maana ukiwazingua wanakuweka kando na kukushit...
2 Reactions
31 Replies
2K Views
Najiuliza tu kwa sababu mambo yote yahusuyo stendi hiyo yaliratibiwa wakati Jiji la Dar es salaam likiwa chini ya Chadema na Lord Mayor Dsm akiwa mh Isaya Mwita. Naomba kuelimishwa Maendeleo...
2 Reactions
17 Replies
3K Views
Naibu Waziri wa Ofisi ya Rais TAMISEMI Mh. David Silinde amemsimamisha kazi Mkuu wa Shule ya Sekondari ya Naliendele Halidi Mchanga kwa kushindwa kukamilisha mradi wa bweni na bwalo la chakula...
0 Reactions
27 Replies
5K Views
DHAMIRI YAMLAZIMISHA RAIS MAGUFULI KUKIRI UHARIBIFU KATIKA UCHAGUZI WA OKTOBA 2020! Nilipokuwa nahojiwa na Jeshi la Polisi jijini Dar es Salaam wiki iliyopita, nililazimika kumueleza mmoja wa...
53 Reactions
96 Replies
9K Views
Mkuu wa nchi analia mbele ya kipaza sauti kuwa wananchi wake wanabambikiwa kodi. Je, waende wapi kudai haki zao? Wanaoonewa na mahakimu, polisi na watendaji kata waende wapi? Je, ni lini...
2 Reactions
23 Replies
2K Views
Kuna tetesi zinasambaa kwenye viunga mbali mbali kuwa kile ambacho mapacha watatu wanajidai nacho ni 'kifo' cha aliyekuwa gavana wa BOT,Balali. Inasemekana kulikuwa na makubaliano ya 'kumuua' ili...
2 Reactions
71 Replies
17K Views
Habari ya mchana wakubwa. Hivi karibuni msemaji wa Club ya Simba Haji Manara alikuwa anazungumza na Salama Jabir; Haji alijinasibisha kama mmoja wa mabingwa wa propaganda hapa nchini. Haji...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
Ilianza Songea na sasa ni Mafinga Kesho ni wapi ?
11 Reactions
40 Replies
6K Views
Mheshimiwa Rais Magufuli leo ametangaza rasmi mchakato wa kulifuta jiji la Dar ambalo linatokana na manispaa tano za mkoa wa Dar (Ilala, Kinondoni, Temeke, Ubungo na Kigamboni) ili kuunda jiji...
4 Reactions
23 Replies
7K Views
Waziri wa Tamisemi Mh. Jaffo amesema mgawanyo wa mali za lililokuwa jiji la Dar es salaam ambalo limevunjwa utakuwa kwamba kila manispaa itarithi mali zilizo katika maeneo yao ya kiutawala. Kwa...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Nimepigwa na butwaa baada ya kuona clip ikisambaa kwenye mitandao ikimuonesha Naibu Spika Tulia Ackson akidai kuwa alishawahi kuugua Covid 19 mara mbili. Clip hii inamuonesha mwanamama huyu...
26 Reactions
105 Replies
11K Views
Kuna wakati mtu unajiuliza sana, hivi sisi watanzania tuna matatizo gani? Yaani kuvunjwa kwa Jiji la Dar es salaam ndiyo story kuliko hili janga ambalo linawamaliza ndugu zetu kila siku? Wewe...
2 Reactions
7 Replies
911 Views
Leo nimeamini kuwa cheo ni dhamana hakika. Msafara wa mh rais wa JMT mkoani dsm. Haijazoeleka kwenye akili za watu hasa wakaazi wa dsm kushuhudia shughuli za ufunguzi wa miradi kama ya leo...
22 Reactions
101 Replies
9K Views
Rais Magufuli leo anaanza ziara ya siku tatu mkoani Dar es Salaam ambapo atafungua miradi mbalimbali. Kituo kikuu kipya cha mabasi ya mikoani Mbezi ni moja ya miradi itakayofunguliwa leo. ===...
10 Reactions
99 Replies
15K Views
Akiendelea na ziara yake ya siku tatu mkoa wa Dar es Salaam, ambapo leo Februari 25, 2021 ameweka jiwe la msingi katika soko la Kisutu na kuzindua jengo la Jitegemee, Rais Magufuli ametoa wito...
1 Reactions
36 Replies
4K Views
KWANINI HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM IMEVUNJWA Ni Mawazo Yangu #Joseph #Yona Kiutawala Jiji lilikuwa limegawanyika katika Halmashauri sita za Serikali za mitaa ambazo ni:- Halmashauri ya...
12 Reactions
41 Replies
6K Views
Kwanza nianze kwa kusema mimi ni mtu ninayeamini katika kutii mamlaka na kuiheshimu. kwakusema hivyo namuunga mkono rais na serikali na ninatii na kuheshimu hatua wanazochukua katika kuongoza...
9 Reactions
70 Replies
4K Views
Habari zinazomiminika sasa hivi zinasema kuwa hoja ya kuupitia mkataba wa TICTS imepita na sasa utaangaliwa. Bado details zinamiminika, hoja hiyo imepita dakika chache zilizopita. Nzi azungukaye...
0 Reactions
75 Replies
12K Views
Na All - Rounder nawaombeni enyi Watoa Majina Siku zingine kabla ya kutoa Majina ya Watendaji wenu au Wanasiasa muwe mnatuambia Kwanza Watanzania ni nini au kipi cha maana na chenye Tija kwa nchi...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Akiwa katika uzinduzi wa daraja la juu Ubungo amesema atalivunja jiji na kuipa Ilala hadhi ya jiji na wilaya zingine zibaki kuwa Manispaa. ---- Rais Magufuli ameyasema haya Nategemea Jiji la...
8 Reactions
173 Replies
20K Views
Back
Top Bottom