Iringa Kamwene ! Mh Msigwa kuripua Iringa Mjini Jumapili hii

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,377
217,438
Mbunge wa Iringa Mjini @pmsigwa_ anawaalika katika Mkutano wa hadhara utakaofany ( 640 X 640 ).jpg

Mchungaji Msigwa ambaye ni Mbunge wa milele wa Iringa Mjini ataongea na wapiga kura wake Jumapili hii tarehe 5/1 /2020

Njoo usikilize hoja za mbunge wako ambapo utapata nafasi ya kumweleza kero unazoziona mtaani kwako ili zitatuliwe

Wote Mnakaribishwa

UPDATES
.......................
 
Mchungaji Msigwa ambaye ni Mbunge wa milele wa Iringa Mjini ataongea na wapiga kura wake Jumapili hii tarehe 5/1 /2020

Njoo usikilize hoja za mbunge wako ambapo utapata nafasi ya kumweleza kero unazoziona mtaani kwako ili zitatuliwe

Wote Mnakaribishwa

Acheni utani bana; mara "kumekucha", mara "kamwene"... msiwape watu matumaini msiyoweza kuyatimiza. Msigwa ana haki ya kufanya na kuzungumza na wananchi wake.
 
akili zako zipo chato wewe huna jipya. umekalia kusifia tu ukijinasibu kwamba upo nje? nikuulize huko USA raisi anakuwa ndiyo bwana fedha mkuu? kwamba ajifungie ndani na watengeneza ndege aagize ndege azipendazo yeye na atuite tukazishangilie huku sheria ya manunuzi ya umma ikilowa jasho kwenye mifuko yake ya NYUMA YA SURUALI?
 
Asthaghafillulah !
 
Back
Top Bottom