Naomba kueleweshwa: Sh 700. milioni Kukarabati v/s Kujenga

nyumbamungu

JF-Expert Member
Mar 3, 2017
996
826
Jana Mh Rais John Pombe Magufuli alizindua jengo litakalotumika kama studio ya redio na televisheni (Chanel Ten na Magic FM) gharama za ukarabati umegharimu kiasi cha Sh 700. Milioni.

Na leo Mh Rais John Pombe Magufuli amezindua majengo ya chuo cha Polisi Kurasini kati ya majengo hayo moja lina ghorofa 3 na lingine ghorofa 4, gharama za ujenzi toka mwanzo hadi mwisho kwa yote ni Sh 799 Milioni. Au kwasababu moja lipo Jijini Dar es Salaam?
 
Dah, jana alisema mkosoe kwa staha! Sasa wewe unakoelekea utasema serikali ya JPM imejaa ufisadi.
 
Back
Top Bottom