Hivi punde akipiga kura baada ya kuja bungeni,amepiga kura ya Hapana kwa sura kadhaa na ibara kadhaa.
Baada ya kupiga kura ya Hapana,kuna mjumbe amesimama na kuomba muongozo ambapo amemshambulia...
Mwanasheria Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman
MWANASHERIA Mkuu wa zamani wa Zanzibar, Othman Masoud Othman ametoa rai mpya ya kuondoa mkwamo wa kisiasa unaoikabili Zanzibar...
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu Z’bar aibua mazito ya Katiba Mpya
Aliyekuwa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar, Othman Masoud Othman.
Background (kwa kifupi)
Mh Othman alikuwa mmoja wa wajumbe wa Kamati...
(Sehemu ya Hotuba ya Kiongozi wa Chama Ndugu cha ACT Wazalendo Ndg. Zitto Kabwe kwenye Khitma ya Kumuombea Maalim Seif Iliyofanyika Dar es salaam).
"Tayari tumeshapendekeza jina kwa Rais wa...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar, Hussein Mwinyi ameziagiza taasisi na maofisa uhusiano kukaa pamoja na kuangalia namna bora ya kutoa taarifa kwa vyombo vya habari...
Mji wa Dar es Salaam ulikuwa ni sehemu tu ya mkoa wa Pwani, kutokana na idadi yake kubwa ya watu wanasiasa waliamua ujitenge ili uwe mkoa unaojitegemea. Ilala, Kinondoni, Temeke na Ubungo ilikuwa...
Mara zote kutembelewa na mgeni ni baraka. Kutembelewa na Rais ni baraka zaidi.
Kutembelewa na Rais Magufuli ni baraka tele ambayo wananchi wa Mbeya tumekuwa tukisubiri bila kiu hiyo kusuuzwa kwa...
Pamekuwa na kambi mbili katika uteuzi huu na msaada wa wadau wa katiba na sheria unaweza kutupa mwanga.
Najua kuna jukwaa la mambo ya sheria lakini uteuzi huu una athari za kisiasa ambazo...
Swiss luxury brand Bernhard H Mayer (BHM), which offers high end handcrafted timepieces and precious jewelry has now put Tanzanite in its latest collection of 2021.
A precious stone known for its...
Sifa ya kiongozi ni kuweza kufikiri nje ya boxi, kwa maana ya kuwa na IQ kubwa katika kutatua changamoto za kila siku za wale unaowaongoza. Rais wa Tanzania amekua akilionesha hili wazi kupitia...
MFANYABIASHARA Mohamed Mustafa Yusufali maarufu kama Mohamedali ama Choma au Jamalii, ambaye ni mshitakiwa namba moja na mbuili katika kesi mbili tofauti.
WAFANYABIASHARA MOHAMED MUSTAFA YUSUFALI...
M. M. Mwanakijiji.
Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM.
By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms...
Wiki iliyopita ililipotiwa hapa jukwaani kuhusu wakazi wa Kariakoo Tabora kata ya Kitete wakilalamikia kanisa lililojengwa katikati ya barabara na kupiga muziki mkubwa sana masaa 24
Sakata...
Kiongozi wa Chama cha ACT wazalendo Zitto Kabwe amesema tayari wamekabidhi jina la makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar kwa mamlaka ya uteuzi yaani Rais Hussein Mwinyi.
Zitto Kabwe amesema hayo...
JF members, and Tanzanians!
Dkt John Pombe Magufuli amefanya mengi mazuri kwa taifa letu la Tanzania - ni ngumu kutaja kwa jina kila alichofanya lakini kwa uchache - elimu, afya, barabara na...
Kuna ulazima gani wa kuwa na Katiba ya nchi.
Kwani Nchi haiwezi kuongozwa bila ya kuwa na Katiba?
Katiba usipofuatwa kwa maslahi ya wananchi Katiba yenyewe inaweza kujitetea?
Mbona Uingereza...
Nimefuatilia kampeni za uchaguzi kwa wagombea wa nafasi ya uraisi 15 huku wengine wakishindwa kufanya kampeni na wengine kujitoa na huyu Tundu Lissu kupata wafuasi wengi lakini wanaokwenda...
Kati ya mawaziri wote ktika serikali ya dr kikwete magufuli anaonekana kuaminika zaidi. Yeye pia anajua hilo. Hivi majuzi alitetereka kidogo na kutoa kauli ya kejeli. Ingawa kupanda kwa nauli...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.