beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,877
- 6,326
Rais John Magufuli leo amemwambia Mbunge wa Temeke kuwa Serikali haitatoa fedha kulipa deni la miaka ya nyuma ya Manispaa hiyo kwa Benki ya CRDB
Dkt. Magufuli ametoa kauli hiyo baada ya Mbunge Dorothy Kilave kuomba Serikali kusaidia kulipa deni lililobaki la Bilioni 12.195. Manispaa hiyo ilikopa Bilioni 19 ili kuwalipa wakazi waliobomolewa makazi yao
Amesema, "Tuna Manispaa ngapi? Tuna Halmashauri ngapi? Zikawe zinafanya mamikopo yao kule ya ovyo na wizi, Serikali inakuja kulipa! Hilo msahau, ninyi mtalibeba wenyewe"
Aidha, Rais Magufuli ameagiza TAKUKURU kuchunguza mkopo huo akisema anaona kuna ufisadi unaelea