Yaani wakati wa kinana kidogo ulikuwa unaona kabisa kuna sera za kukampeni na wabunge na wagombea wengine walikuwa wanashindana na kishinda na kushidwa.
Sasa huyu Profesa ambaye hajui, hapendi...
KUZUIA TAHARUKI KUNALETA TAHARUKI
Kuwazuia watu kuogopa kitu kinachoogopesha ni kuwakosea haki watu hao. Binadamu kamili huogopa. Kutoogopa kinachoogopesha ni kasoro ya kimaumbile hata kama si...
Tumekusikia mara kwa mara ukilalamika juu ya wasimamizi wa sheria za nchi kunyanyasa raia wa kawaida.
Leo hii tar 25 Feb 2021 unalalama juu ya watumishi wa TRA kubambikia wanachi kodi na kuleta...
MTAZAMO WA MHASHAMU BABA ASKOFU SEVERINE NIWEMIGIZI WA KANISA KATOLIKI JIMBO LA RULENGE-NGARA
Nawaza kivyangu kwa sauti. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ya mwaka 1977 katika ibara ya 19...
Wandugu.
Inawezekana mm ndiyo sijaelewa.
Raisi wa JMT leo alikuwa chuo cha mapolisi kurasini. Hapo alizindua majengo mengi. Kama kawaida.
Awali kabla ya kuanza kuhutubia alitangulia means CCM...
Matumizi sahihi ya Rasilimali zetu huleta matokeo chanya siku zote.
Ni fedha zinazotokana na makusanyo ya kodi zetu.
Tshs Bilioni 24.4 zimetolewa na Serikali kupeleka maji kwenye mji wa Tinde...
Wilaya ya Kaliua inakumbwa na majanga mengi kwa watumishi wake changamoto inayoikabili wilaya ni Rushwa ya ngono kwa watendaji wake hasa wakuu wa vitengo kuwakata watumishi wa kada za chini...
Wakuu nina hasira, nina hasira na huu utawala.
Nilihitimu chuo miaka kadhaa iliyopita, ajira Kama mnavyojua JPM haipi kipaumbele, basi nikahangaika hadi kupata kazi kwenye NGO moja ya kimarekani...
Naelewa kwamba wametangaza social distance kwenye ya mita 1 kwenye stendi za daladala kama pale Makumbusho na Mbagala.
Sidhani kama hiyo inasaidia lolote kama ndani ya basi watu wanakanyagana...
Mkuu wa wilaya ya Temeke Godwin Gondwe amesema serikali itajenga flyover huko Buza ili kupunguza msongamano wa magari na kurahisisha usafiri.
Amesema hiyo itakuwa ni flyover ya tatu wilayani humo...
Rais wa Tanzania, Dkt. John Magufuli amesema Mawaziri hawafanyi mawasiliano, suala linalowapa changamoto watu wa chini.
Ametoa kauli hiyo leo katika uzinduzi wa majengo ya Chuo cha Polisi...
MAJIBIZANO KATI YA ASKOFU MWAMAKULA NA PROFESA LWAITAMA!
Baada ya Askofu Mwamakula kuposti katika ukurasa wake taarifa za mwanaharakati nguli wa Haki za Binadamu, Mama Helen Kijo-Bisimba kuunga...
Kama kichwa hapo juu kinavyojieleza.
Mtakumbuka Rais magufuli alitoa kibali cha kuajiri walimu 13,000 ili kukabiliana na tatizo la upungufu wa walimu nchini.
Katika kibali hicho, serikali...
Leo Serikali imetoa waraka mrefu unaoelezea namna Watanzania wanavyotakiwa kupambana na tatizo la Covid 19. Kiufupi mwongozo huo wa Wizara ya Afya, unaoelezea zaidi mambo yanayotakiwa kufanywa ili...
Mkazi wa Kijiji la Luganga, Wilaya ya Mufindi, Iringa, alikozaliwa Gavana wa zamani wa Benki Kuu ya Tanzania (BoT), Daudi Ballali analazimika kutumia saa 32 kufika katika kaburi la kiongozi huyo...
Kama utakuwa umefatilia kwa makini juu ya iliyokuwa Halmashauri ya jiji la Dar es Salaam, utaona havina tofauti yoyote na mapendendekezo ya tume ya jaji Warioba juu ya muundo wa Serikali tatu (3)...
Habari wanajukwaa.
Nilibahatika kumsikia mheshimiwa Lowasa akitafuta wadhamini juni 2015 akiwa mtangaza nia ya kugombea Urais kupitia CCM. Ktk kutafuta wadhamini alisema atapambana na kero za...
Rais Magufuli ametoa siri hiyo leo wakati akizindua daraja la la Ubungo lililopewa jina la Kijazi Interchange.
Rais Magufuli amedai kuwa alipokuwa mwanafunzi wa chuo kikuu cha Dar es Salaam...
Zile tetesi kuwa Tanzania ina mahusiano mabaya na nchi za magharibi zimeonekana sio za kweli. Maana ziara aliyofanya waziri kabudi imezaa matunda.
Ziara hii pia imechochea kuanza kwa mradi wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.