Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais. Pia soma...
2 Reactions
18 Replies
41K Views
Huyu ni naibu waziri wa maji, Meryprisca Mahundi. Baada ya kuchukizwa na kitendo alichokifanya fundi Imani Mussa, ambaye ni fundi wa mradi wa maji huko Kyenda, wilaya ya Ngara, mkoani Kagera...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Tukiwa tunaendelea na kikao, tayari jina la Dr. Bashiru Ally limepitishwa na kuwa mrithi wa Kinana kuanzia leo. Dr. Bashiru ni Mwalimu Mwandamizi kutoka Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, pia ndiyo...
12 Reactions
328 Replies
75K Views
NGOME YA WANAWAKE - ACT WAZALENDO TAARIFA KWA UMMA Ngome ya Wanawake ya Chama cha ACT Wazalendo imeshtushwa na kuhuzunishwa na kauli zisizo za kiuongozi na zisizozingatia kanuni za Maadili ya...
16 Reactions
597 Replies
72K Views
Huwezi liona hili kama huna upeo wa kuwaelewa wanasiasa. Magufuli amesema Machinaga na Mamantilie wafanye biashara popote bila bughudha yoyote kinyume kabisa na sheria ya mipango miji na sheria...
23 Reactions
63 Replies
5K Views
Kipindi ni The Stream. Kinaongozwa na Femi Oke. Wageni ni Ansbert Ngurumo, akiwa yupo Stockholm, Sweden na Dkt. F. Minja, kutokea Atlanta, GA, USA. Mazungumzo ni kuhusu madai ya Rais Magufuli...
18 Reactions
212 Replies
21K Views
Nawapa mawazo ya bure wadogo zangu wa miaka 18-35. Kwasababu wasanii wetu hasa wa musiki wanafanya vizuri jamii hasa wanasiasa watawatumia wenyewe kwa manufaa yao binafsi. Lakini kwa mawazo yangu...
4 Reactions
3 Replies
992 Views
Wanabodi nawasalimu. Kama wewe ni mfuatiliaji wa siasa za Tanzania hasa miaka 10 iliyopita huwezi kusahau jina la kijana Bollen Ngetti aliyekuwa Mhariri wa gazeti la Sauti Huru. Kati ya Mwaka...
2 Reactions
50 Replies
8K Views
Sasa hivi kuna sera zisizo rasmi za kuwabeba ati watu "masikini". Nawawekea mfungo hao "masikini" maana hata definition yao katika jamii hawajulinani. Humo kuna mama lishe, machinga na wengine...
22 Reactions
104 Replies
7K Views
Utendaji kazi wa Rais Magufuli ni wa ajabu kweli. Au naweza kusema ni ambao haufuati desturi ama kawaida ya utendaji wa mambo. Ni unorthodox, kwa kimombo 😜. Hivyo ndivyo ninavyoweza kuuelezea...
41 Reactions
102 Replies
13K Views
Ndugu zangu na wenzangu nyote, najua shauku na hamasa zenu kwa maendeleo ya nchi yetu. Najua imani yenu kwangu, hata wale waliokuwa wakihoji juu ya uwezo wangu au kufaa kwangu kwa nafasi hii...
20 Reactions
40 Replies
5K Views
Rais Hussein Mwinyi wa Zanzibar leo amemteua Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais kufuatia kifo cha Maalim Seif Sharif Hamad. Uteuzi huo umefanywa na Rais kwa kuzingatia...
22 Reactions
175 Replies
27K Views
Salaam JF, Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi leo ametimiza siku 💯 tangu alipochaguliwa na Wazanzibar kuwa Rais wao, ukweli upo wazi kuwa Rais Mwinyi ameweza kufanya Mambo ya msingi na yenye...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Suleiman Jaffo awaonya Wakurugenzi wa Halmashauri wanaoshindwa kutumia kikamilifu fedha za Maendeleo na kisha kuamua kuzirejesha hazina baada ya mwaka wa fedha...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi hawa viongozi wetu wataanza lini kutekeleza majukumu yao badala ya kila siku kutoa maonyo ya kila aina kana kwamba watu wanawasikiliza. Mara "Rais kaonya hiki ama kile", mara "Waziri Mkuu...
1 Reactions
7 Replies
4K Views
Waliojitokeza mapema kabisa kutia nia ni pamoja na Kamanda Elizabeth Mwakipesile ambaye kwa sasa ni Mwenyekiti wa Bawacha wa Mkoa wa Mbeya, Huyu yeye ametia nia kwenye nafasi ya Makamu Mwenyekiti...
9 Reactions
42 Replies
6K Views
KUNA FUNZO LOLOTE KWA SASA? Aprili 2019 Rais Magufuli ktk moja ya vikao vya ndani ya chama cha CCM, amemlaumu Naibu Waziri wa zamani wa Elimu na Mafunzo ya Ufundi na aliyewahi kuwa pia RC Tabora...
1 Reactions
236 Replies
32K Views
Wanabodi tuwe tunaweka kumbukumbu pamoja na kusoma "between the lines" anapoandika mtu uzi wake. Tuongeze uwezo wa kutafakari na kudadisi ili kupata faida kuepuka ramli. Siku za hivi karibuni...
0 Reactions
9 Replies
3K Views
Mfanyabiashara maarufu mkoani Arusha, Andrew Mollel ambaye alikuwa mwanzilishi na Mkurugenzi wa kampuni mbalimbali mkoani Arusha amefariki dunia na kuibua simanzi kwa wakazi wengi wa jiji hilo...
15 Reactions
156 Replies
25K Views
  • Closed
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA. Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio...
6 Reactions
105 Replies
23K Views
Back
Top Bottom