Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Ili kukomesha utapeli na umiliki hewa wa ardhi nchini, Julai mosi, 2021 Serikali itaanza upya uhakiki wa wamiliki wa ardhi nchini kwa kutumia kitambulisho cha uraia ambacho taarifa za wahusika...
8 Reactions
51 Replies
7K Views
Wakuu naomba msaada wa kusaidiwa mwongozo wa vikao vya baraza La wafanyakazi LA Halmashauri .Ikiwa ni pamoja na 1.wajumbe wake 2. Ikidi 3. Meza kuu wanakaa watu gani 4. Linatakuwa lifanyike Mara...
1 Reactions
2 Replies
2K Views
Tanzania hatujaanza kutumia chanjo leo kutoka kwa wazungu. Hivi sasa mpaka mtoto anakuwa, anachomwa chanjo mbalimbali sio chini ya mara 5. Taanzania haijawai hata kutengeneza chanjo yoyote toka...
59 Reactions
166 Replies
12K Views
Sakata lake Liko hivi QWIHAYA ni kiwanda Cha nguzo za Umeme ambacho tangu Rais, John Pombe Magufuli aagize kuanza kutumika kwa nguzo zinazozalishwa ndani ya nchi, kimefanikiwa kuongeza ajira 350...
6 Reactions
71 Replies
9K Views
Waswahili husema mchawi mpe mwanao amlee. Nassor Mazrui ameapishwa leo kuwa Waziri wa Afya wa SUK Zanzibar. Zitto Kabwe ambaye ni KC wa ACT Wazalendo siku zote amekuwa mstari wa mbele kuponda...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
TEC na KKKT: Mkisema ni nongwa; Msiposema ni nongwa. Makanisa mawili makongwe hapa nchini yamesema kwa uchungu kuhusu vifo vinavyotokana na Corona. Nawapongeza. Mijadala inayoendelea kuhusu...
8 Reactions
24 Replies
3K Views
Rais Nyerere RIP alishasemaga kuwa kama mtu mwenye akili nyingi akikupa ushauri wa kijinga na wewe ukaufuata ushauri huo kama ulivyo atakudharau sana. Viongozi wengi wa Afrika walishindwa kusema...
4 Reactions
25 Replies
3K Views
Paulo Makonda alipokuwa RC wa Dar es salaam aliwahi kuwapiga marufuku wale wasio na kazi kutoka Mikoa mingine kufika kwenye jiji hilo (sasa ni jiji la Ilala) , na kwa kweli wengi walitii amri ile...
4 Reactions
23 Replies
2K Views
Mheshimiwa Raisi nimelazimika kukutaja wewe moja kwa moja badala ya watendaji wako kwa vile wewe ndiye unayetoa pesa zote. Pale jangwani Dar, kuna mradi wa uchimbaji mfereji wa Maji kwenye bonde...
7 Reactions
23 Replies
3K Views
Mkuu wa wilaya ya Hau mh Ole sabaya amewaonya matapeli wote waliojiingiza wilayani humo kwa lengo la kuwalaghai na kuwadhulumu wananchi wanyonge Ole sabaya amesema hayo wakati aliposikiliza...
4 Reactions
30 Replies
7K Views
Akiongea na wadau wa Hai Kilimanjaro Dc Ole Sabaya amesema wametupwa chini kina Robert Amsterdam,Ushoga na Vibaraka
4 Reactions
57 Replies
10K Views
Wakati ni ukuta, na sasa wabunge wametoka usingizini wameanza "kutema cheche". Kuna mambo Nape, Kanyasu, Msukuma wamekijita kwenye kodi na namna kodi inavyokusanywa. Hata kama taskforce...
23 Reactions
72 Replies
8K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akishiriki mkutano wa 21 wa kawaida wa Wakuu wa Nchi za Jumuiya ya Afrika Mashariki unaofanyika leo tarehe 27 Februari...
3 Reactions
150 Replies
16K Views
Hivi jamani kuna mtu anaelewa kitu gani kinaendelea upanuzi wa barabara kati ya kawawa road na mwenge atueleweshe. Hapo kinachoonekana kila siku ni vurugu tu mtu hupati picha kitu gani...
0 Reactions
24 Replies
3K Views
Hii ofisi ya TANESCO Nyamagana ni wabovu kiutendaji. Kuanzia kitengo cha huduma kwa Wateja; Mafundi na Uongozi mzima wa hiyo ofisi. Mteja akiwa na fault ukitoa taarifa inazidi masaa 48 na bado...
4 Reactions
15 Replies
2K Views
TAASISI ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU), imeagizwa kushughulikia kesi za mimba za utotoni ambazo zimekuwa zikiishia mitaani badala ya kwenda kwenye vyombo vya sheria. Vilevile...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Nauliza tu maana naona kasi ya watu na taasisi za kidini kutoa takwimu za marehemu wa magonjwa ya kupumua imeongezeka. Waziri wa Katiba na sheria Prof Mwigullu Nchemba alisema wanaoruhusiwa kutoa...
4 Reactions
56 Replies
4K Views
Nimekutana na hii habari, ikabidi nitake kumjua kwa undani huyu jamaa. Ametokea wapi hasa hadi kufika alipo? Ni kweli ndo atakuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM baada ya Bashiru? Tutarajie nini baadae...
1 Reactions
29 Replies
11K Views
Bandugu bana Jf, ni wazi kuwa taifa letu linajinasibu kuwa lipo vizuri kimapato. Pamoja na mdororo wa uchumi ulioletwa na Covid 19, leo hii tril mbili zinatinga hazina. Je, haya mapato...
0 Reactions
1 Replies
849 Views
Back
Top Bottom