Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Fikiria kwa mfano Chadema itakiwe kupendekeza jina la mtu mmoja atakayeingia katika baraza la mawaziri kama waziri, hakika hekaheka na majungu yanaweza kutamalaki. Tumeona namna walivyoshindwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali imepiga Marufuku Hospitali, Vituo vya Afya na Zahanati zote nchini kushikilia maiti kudai fedha iliyotumika katika matibabu. Agizo hilo limetolewa na Naibu Waziri wa afya Dk. Faustine...
4 Reactions
47 Replies
6K Views
Nampongeza sana Dr Bashiru Ally, Ambassador kuteuliwa kuwa Chief Secretary. Ila nina reservations mbili tu. Moja, hana uzoefu mkubwa katika ku-run Goverment machinnery, ukifikiria kuwa asili yake...
4 Reactions
86 Replies
9K Views
Watu walikuwa wengi kwelikweli, ni maelfu ya watu wamekusanyika kwa ajili ya kushiriki mashindano ya Kilimanjaro Marathon. Miongoni mwao wapo ambao hawakuvaa barakoa kabisa, na wamo amabao...
17 Reactions
129 Replies
58K Views
Daktari Elisha Osati akiwa kipindi cha Mtazamo cha Clouds Plus ameeleza hali ya Virusi vya Corona ilivyo nchini pamoja na uchukuaji wa tahadhari. Akijibu swali la Mtangazaji wa kipindi hicho...
5 Reactions
3 Replies
2K Views
Inatia aibu kuona viongozi wa chama kikubwa kama Chadema na wafuasi wao wanataka kuingilia mamlaka ya uteuzi aliyonayo rais wa JMT. Ina maana hamna muda wa kupitia na kuperuzi katiba ya JMT? Kwa...
3 Reactions
19 Replies
2K Views
THE STRENGTH OF UNITED STATES CONSTITUTION AND THE WEAKNESSES OF AFRICAN COUNTRIES CONSTITUTIONS ON GOOD GOVERNANCE AND GOOD POLICY. Analysed by DON NALIMISON, 1st March 2021. 1.PRESIDENT TERM...
3 Reactions
6 Replies
868 Views
Wana JF Makuzi ya binadamu wa mtanzania yanapitia magumu mengi, hivyo pia akili huchelewa kukomaa kupata uelewa wa kujifunza kitu Kwa umakini. Natoa sababu Kwa nini umri miaka 10 ndio unafaa...
11 Reactions
84 Replies
12K Views
Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Dkt. Bashiru Ally amewahimiza wanaCCM wa Chuo Kikuu Cha Dar es salaam kuenzi miaka 100 ya fikra za Mwalimu Nyerere, Aprili 2022. Ameysema hayo leo tarehe...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Msajili Mstaafu wa Vyama va Siasa Jaji Mstaafu John Tendwa, amesema Katiba Mpya itaondoa Migogoro wakati Uchaguzi. ameyasema hayo leo 13 Feb 2021 Jijini dar Wakati wa kujadili...
8 Reactions
40 Replies
7K Views
Aliyekuwa AG wa ZAnzibar Othman Masoud Mhe Said Hassan Said awa Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar. Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Ali Mohamed Shein, amefanya Uteuzi wa...
30 Reactions
546 Replies
81K Views
Sekretarieti ya Chama cha Mapinduzi Zanzibar imefanya ziara maalumu kuwafariji na kuwapa pole ndugu zao wa ACT - Wazalendo. Ziara hiyo ya faraja na upendo wa hali ya juu inafuatia kifo cha Mhesh...
4 Reactions
8 Replies
1K Views
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo, Zitto Kabwe amesema jina walilompelekea Rais Hussein Mwinyi kwa ajili ya uteuzi wa makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar limetokana na wosia aliouacha Maalim Seif...
1 Reactions
29 Replies
5K Views
Hapo awali si vyombo vingi vya habari Duniani vilikuwa vikiiandika Tanzania. Tanzania ilianza kuandikwa sana kwa mabaya kuanzia shambulio la Tundu Lisu. Tukio lile kwa wiki zima lilimfanya Tundu...
8 Reactions
51 Replies
6K Views
Baada ya kufariki Makamo wa kwanza Maalim seif sharif Hamad, Kumekuwa na minong’ono ya hapa na pale kuhusu ni nani atakae weza kuvaa viatu japo nusu, vya marehemu Maalim Seif, mpaka sasa majina ni...
7 Reactions
157 Replies
16K Views
Ni suala la muda tu. Ila kila kitu tayari kiko sawa na kinachosubiriwa ni muda tu. Wanasiasa wawili vijana ndani ya chama tayari wako kwenye rada za mwenyekiti. Moja kati yao inaitwa usiyempenda...
13 Reactions
40 Replies
5K Views
Wizara ya Mifugo na Uvuvi imeondoa marufuku ya uuzaji na ulaji wa nyama ya Nguruwe katika Wilaya sita za Kanda ya Ziwa ambazo zilikumbwa na Homa ya Nguruwe (ASF) mwezi mmoja uliopita. Prof Hezron...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA WIZARA YA AFYA, MAENDELEO YA JAMII, JINSIA, WAZEE NA WATOTO TAARIFA KWA UMMA TAMKO LA KUONGEZA KASI YA UTEKELEZAJI WA HATUA ZA KUJIKINGA NA MAGONJWA YA KUAMBUKIZA...
8 Reactions
83 Replies
12K Views
Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi...
2 Reactions
52 Replies
6K Views
Hivi punde akipiga kura baada ya kuja bungeni,amepiga kura ya Hapana kwa sura kadhaa na ibara kadhaa. Baada ya kupiga kura ya Hapana,kuna mjumbe amesimama na kuomba muongozo ambapo amemshambulia...
8 Reactions
85 Replies
17K Views
Back
Top Bottom