Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wanabodi, Leo ndio nimeamini Kiswahili ni muhimu sana kuliko hizi lugha za kigeni, Watu wameshindwa kuelewa haya maneno ya kiingereza yanatumika kwa kupishana (Interchangeable) na yana maana moja...
5 Reactions
57 Replies
7K Views
Wasifu wa Dakta Bashiru kwa hisani ya gazeti la Mwananchi. ===== Huyu ndiye Dk Bashiru Ally Dar es Salaam. Miongoni mwa mambo yaliyoibua mjadala ni uteuzi wa aliyekuwa katibu mkuu wa CCM, Dk...
15 Reactions
142 Replies
24K Views
Mabibi na mabwana kama ilivyo katika somo hapo juu, huo ndiyo ulio ukweli mchungu. Kwamba tupo hapa leo, kimungu mungu tu. Kweri? No! It shouldn't be! Anasema Prof. Bisanda, heshima kwake...
3 Reactions
58 Replies
6K Views
Ndugu wana JF humu ndio mahala pa kuhoji kila jambo linalotuhusu. Je, serikali awamu ya tano imekamilisha kutatua kero zetu? Alipoingia madarakani rais Magufuli alianza kwa kasi ya kutumbua wote...
1 Reactions
4 Replies
834 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi amemuapisha Othman Masoud Othman Sharif kuwa Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar. Othman Masoud Othman Sharif kutoka...
5 Reactions
32 Replies
4K Views
Baraza la wanawake wa Chadema (BAWACHA) , limetangaza rasmi kuanza mchakato wa kujaza nafasi za Wasaliti waliotimuliwa ndani ya Chama wakiongozwa na Halima Mdee. Fomu za Kugombea nafasi hizo za...
37 Reactions
115 Replies
9K Views
Rasimu ya katiba ya Jaji Warioba katiba ibara ya 54 imependekeza kuwa mahakama au chombo cha maamuzi kufanya maamuzi kwa kuzingatia haki na usawa na uhuru wa mtu binafsi Sheria za kimataifa...
4 Reactions
13 Replies
2K Views
Serikali kupitia Mradi wa Lipa Kulingana na Matokeo (EP4R) itapeleka Shilingi bilioni 137 katika Halmashauri zote nchini kwa ajili ya kuboresha miundombinu ya shule za msingi na sekondari mwaka...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
UFAHAMU MRADI WA STRIEGLER'S GORGE NA MAONO YA SERIKALI. Na Elius Ndabila 0768239284 Ikumbukwe kuwa mwaka juzi nilishawahi kuandika makala ndefu juu ya mradi mkubwa huu wa kuzalisha Umeme wa...
2 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari za kuaminika hivi punde ni kuwa Othman Masoud, aliyekuwa AG amekataa katakata kwenda kwenye sherehe ya kukabidhiwa rasimu Rais Kikwete na Shein leo viwanja vya Ikulu. Ujumbe mzito...
27 Reactions
93 Replies
19K Views
Hii ni conspiracy theory yangu na uwezekano wake kuwa kweli ni mdogo. Ina hypothesis mbili: Hypothesisi 1: Kamanda Sirro kwa niaba ya system iliyojeruika anamuongoza Makonda kwenda kujizika na...
9 Reactions
29 Replies
4K Views
Katibu Mkuu, Chama Cha Mapinduzi , S.L.P 50, Dodoma. 15/07/2020. Ndugu Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi, (Dkt) Bashiru Ally, * YAH: NDUGU PAUL MAKONDA KUVUNJA KANUNI NA SHERIA ZA UCHAGUZI...
26 Reactions
81 Replies
14K Views
SHIGONGO APANIA KUJENGA BUCHOSA MPYA. MBUNGE wa Jimbo la Buchosa, Mhe. Eric Shigongo ametembelea miradi ya maendeleo katika Kata ya Bulyeheke na kuongea na wananchi wa kata hiyo kwenye mkutano wa...
1 Reactions
0 Replies
793 Views
Yaliyojiri ndani ya Bunge la Katiba na kulichopelekea kufukuzwa kwake. Alichomwambia Dr. Shein baada ya kupora Ushindi wa Maalim Seif. Maisha yake nje ya harakati. Ukaribu wake na watu...
1 Reactions
16 Replies
3K Views
Ibara ya 1 ya katiba ya Jamhuri ya Muungano ya Tanzania (JMT) imetamka wazi kuwa Tanzania ni dola huru yenye mamlaka yake ya kujitawala. Kwa mantiki hii rais wa JMT ana mamlaka ya kuwalinda raia...
7 Reactions
71 Replies
4K Views
Nimeshangazwa sana na Utoaji wa PhD wa Chuo hiki kikongwe hapa Tanzania (1992-2016). Kwanza aina ya tafiti wanazofanya zinaniacha mdomo wazi kwa mfano Mahafali ya 16 December 2015 mtunukiwaji...
5 Reactions
63 Replies
16K Views
Kila nikizipima siasa za vyama vya upinzani naona, siasa zao hazina tofauti na michirizi ya maji machafu, inajipitia tu, mpaka itengenezewe misingi ndio utaona inafuata njia na hizi njia huwa...
2 Reactions
16 Replies
2K Views
Nimefuatilia mahojiano ITV Kati ya mtangazaji na Dr. Kitilla Mkumbo kuhusu hoja mbalimbali. Kwa ngazi yake ya elimu na hoja alizotoa unaona namna elimu ya Phd isivyo na umuhimu hasa kwa...
24 Reactions
37 Replies
4K Views
Mbona kila kukicha hapa bongo yanaibuka mapya? Maana katika kupita huku na kule nimekutana na Mbunge mmoja akiomba kama kuna uwezekano basi katiba ya JMT ibadilishwe ili kuwe na kipengele cha...
0 Reactions
17 Replies
1K Views
Nimepigwa na butwaa kusikia Waziri wa Afya akisema kuwa matamko juu ya Covid 19 basi. Maana viongozi wakuu wameshatoa matamko sasa kila mtu achukue wajibu wa kujilinda. Hivi hili gonjwa...
7 Reactions
33 Replies
3K Views
Back
Top Bottom