Uzalendo wa Kitanzania
JF-Expert Member
- Mar 8, 2020
- 2,207
- 4,703
Waziri wa Tamisemi Mheshimiwa Suleiman Jaffo awaonya Wakurugenzi wa Halmashauri wanaoshindwa kutumia kikamilifu fedha za Maendeleo na kisha kuamua kuzirejesha hazina baada ya mwaka wa fedha kumalizika.
Amewakumbusha kuwa fedha hizo zimetengwa kwenye bajeti ili zitumike kwa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa manufaa ya Wananchi kama ilivyokusudiwa.
Nipashe
Amewakumbusha kuwa fedha hizo zimetengwa kwenye bajeti ili zitumike kwa miradi mbalimbali ya Maendeleo kwa manufaa ya Wananchi kama ilivyokusudiwa.
Nipashe