Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wana jf Wengi mnaweza msilione hili lakini mbinu chafu zinazotumiwa Hawa wafanyabiashara kuhakikisha wanapata faida kubwa huku mdoro wa Kasi ya maendeleo ikikwamishwa makusudi. Umoja wa...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) inayashikilia magari 10 ya wagonjwa ambayo yalikuwa yagawanywe kwa kata 10 za Jimbo la Same Magharibi na Mbunge wa Jimbo hilo Dkt. Mathayo David...
7 Reactions
34 Replies
9K Views
Mimi binafsi si subiri takwimu zenu kuhusu Corona kwani najua sitazipata, takwimu ninazozitumia ni za vifo vya mfululizo ndani ya familia moja au kundi moja. Dkt. Kanisa Katoliki liljiikita...
5 Reactions
40 Replies
3K Views
OMBI KWA SERIKALI YA MH. RAIS MAGUFULI: Serikali kupitia Wizara husika, iunde Computer Lab, ambayo itakuwa na Specs zifuatazo: Chumba kiwe kikubwa, chenye Computer za Mac "50", zenye specs...
20 Reactions
63 Replies
7K Views
Akizungumza kwa kujiamini mmoja wa wachangiaji amepinga kuvunjwa kwa jiji kulikoleta mkanganyiko wa hadhi ya maeneo , kwa kutolea mfano wa Chanika kuwa jijini huku Magomeni , Kinondoni , Masaki ...
20 Reactions
44 Replies
6K Views
Mhandisi Robert Kabudi mwenye miaka 20 ya kusimamia miradi mikubwa ya ujenzi nje ya Tanzania pamoja na wahandisi wengine mahiri wazalendo wapo ktk mradi wa ujenzi wa Bwawa la Umeme la Rufiji...
4 Reactions
15 Replies
4K Views
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
20 Reactions
437 Replies
45K Views
Leo tarehe 05 Machi 2021, Mbunge wa Jimbo la Chonga kisiwani Pemba, kupitia tiketi ya chama cha ACT Wazalendo ndugu Salum Mohamed Shafi amekabidhi vifaa vya ujenzi wa shule katika Skuli ya Punjini...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
RAIS Dkt #MAGUFULI HAJAKATAA CHANJO YA #KORONA, AMBACHO HATAKI NI MAJARIBIO YA CHANJO KUFANYIKA KWA WANANCHI WAKE, MBONA WENYE MAMILIONI YA CHANJO BADO WAKO #LOCKDOWN NA #WANAKUFA Ni #Joseph #Yona...
12 Reactions
62 Replies
5K Views
NI kweli hakuna cha kushangilia wala kujisifia kwamba sasa tumekuwa katika kundi la nchi zenye uchumi wa kati. Kumbukeni kwamba watu hao hao wanaosema Tanzania sasa iko uchumi wa kati, ndio...
7 Reactions
87 Replies
8K Views
Naam sasa nchi zimeamuka, nchi mbali mbali duniani zinapeleka oda zao kupata chanjo ya CORONA. Tayari jirani zetu Kenya chanjo hiyo imetua. Nchi zingine zimeenda mbali zaidi hazitoruhusu wageni...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Lazima mfumo wa uchaguzi wa Rais kizamani ambao hauendani na misingi ya kidemokrasia usiwepo tena hapa Tanzania. Kama kuna mgombea Urais ambaye hajaridhika na matokeo basi kuwepo na utaratibu wa...
3 Reactions
0 Replies
2K Views
Kumekuwa na tabia iliyozoeleka Sasa ya wanainchi wakiwa na Mabango ya kero mbalimbali mbele ya Rais Magufuli. Hii ni Ktk ziara zake mbalimbali za kuwatumikia wanainchi. Je, hali hii inamaanisha...
5 Reactions
26 Replies
3K Views
Shirika la Afya Duniani WHO linajiandaa kutoa cheti au kadi ya chanjo ya Corona (Covid-19 vaccination certificate) itakayotumika dunia nzima, na huwezi kusafiri au kupata VISA kama hautakuwa...
10 Reactions
216 Replies
19K Views
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe amesema kununua ndege siyo kipaumbele sahihi kwa maendeleo ya nchi yetu ukilinganisha na Elimu, Afya na Miundombinu. Mbowe amesema uwekezaji kwenye ATCL...
7 Reactions
51 Replies
5K Views
Habari za wakati huu watu wa jamvi hili. Mimi ni miongoni mwa waliofurahishwa sana na juhudi za Dr. Mwinyi kule zanzibar kwa kuweza vyema kuwaunganisha wazanzibari kwa kuunda umoja wa Kitaifa...
1 Reactions
6 Replies
2K Views
Nazungumzia kutoka maisha ya mtaani kabisa kule kwa akina bwashee Mrangi mgonga kokoto. Hii keki ya taifa anayeifaidi ni nani hasa? Huku chini tozo, ushuru na kodi ni nyingi sana na labda hizi...
5 Reactions
24 Replies
46K Views
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia, Profesa Joyce Ndalichako amewataka wazazi na walezi kushirikiana na shule wanazosoma watoto wao ili kutatua changamoto ndogondogo zinazokabili shule hizi...
1 Reactions
9 Replies
976 Views
Matokeo yanayotokana na tathmini ya uchunguzi wa thamani ya upanuzi wa Hospitali ya Tumbi Kibaha yanaonyesha kuwa umesababisha hasara kubwa ya Tshs Bilioni 1.6. ======= Uchunguzi wa tathmini ya...
0 Reactions
1 Replies
913 Views
Kuna wakati huwa najiuliza kama hawa wabunge waliopita bila kupingwa wana tija yoyote kwa Chama na jamii kwa ujumla. Mbunge wa Morogoro kusini mashariki mh Hamis Taletale aka Babu Tale ametoa...
10 Reactions
73 Replies
7K Views
Back
Top Bottom