Yuko wapi Waziri wa Fedha, Dkt. Mpango?

Status
Not open for further replies.

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,957
141,946
Nauliza tu maana mara ya mwisho nilimuona luningani akiwasimamisha kazi baadhi ya watoza ushuru wa TRA.

Jana nimemuona Mwigulu Nchemba akitumikia majukumu ya Waziri wa Fedha pale bungeni ndio nikajiuliza huyu Waziri nyeti kabisa yu wapi hadi Dkt. Mwigulu anatamalaki bungeni kwa niaba yake?

Maendeleo hayana vyama!
 
Corona haina mwenyewe CCM kama kenge tu hauamini hadi damu ziwatoke
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom