Leo nimeona bendera ya rias wa jamhur ya muungano wa Tanzania ikiwa na rangi nyekundu. Nilikuwa naomba ufafanuzi kwa anayefaham hiyo rangi inawakilisha nini ktk bendera ya rais.
Pia soma;
www.jamiiforums.com
Pia soma;
Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo?
Rangi za bendera ni ujumbe, uzalendo au urembo? Nilizikuta enzi za kuimba nyimbo za kizalendo zikiwa ukingoni, wakati huo nikiwa kinda. Bendera ya taifa ikipandishwa, tulisimama wima! Hata nzi akikugusa, hakuna kutikisika. Bendera ikipanda, kichwani ulisikika mwangwi wa mirindimo ya nyimbo za...