Wanajamii kichwa cha habari cha jieleza, nimeshitushwa na kichwa cha gazeti hili na maneno ya chini yake maana kwa kiasi kikubwa yanamuhusu Rais mstaafu, Je! Yana ukweli wowote, vipi jawa jamaa...
Mheshimiwa Zitto Kabwe, amemtaja aliyekuwa naibu waziri wa Sayansi na Teknolojia katika awamu ya nne ya Serikali ya JMT iliyoongozwa na Jakaya Kikwete, Mhe. January Makamba kama mwanasiasa pekee...
Mwenyekiti wa CUF, Profesa Ibrahim Lipumba amemshauri Rais Samia Suluhu Hassan kujiwekea malengo ya kutwaa tuzo ya Mo Ibrahim ya utawala bora kwa kurejesha utawala bora unaojali msingi ya...
Habari wanajamvi !
Awali ya yote poleni kwa msiba! Niende moja kwa moja kwenye mada. Wanyonge wana shida tena kubwa sana. Twendeni pamoja taratibu mtajua shida ilipo. Siku moja nikiwa mahali...
HISA ZA KINYEREZI III (600 MW)
Taarifa tulizopewa ni kwamba TANESCO ina 10% ya hisa zote (?) na SHANGTAN 60%.
Ninahisi gharama za US $ 342M ni zile za kuanzia ujenzi wa 300 MW.
Je 30% ya...
Watu wasiopenda demokrasia na haki ,huwashabikia na kuwatukuza sana watu wanaokandamiza haki na demokrasia.
Kitu kimoja nataka kuwaambia watu wa aina hii ni kuwa; haki na demokrasia ndio...
Kuna watu wamepiga shule lakini wako kimya kabisa tofauti na yule msomi wa uchumi first class aliyetumbuliwa baada ya kutunukiwa PhD.
Nimeipitia CV ya Dr. Mashinji kisha nikavuta CV kadhaa za...
Hivi ni aibu, aibu kubwa kwa serikali inayojinadi kuwa ya wanyonge.
Hao "wanyonge" wamepiga kelele sana kuhusu makampuni ya simu kuwaumiza kwa gharama za juu za vifurushi vya data na maongezi na...
Mh Rais, Makonda bado ni kijana sana kupotea kwenye siasa, pamoja na mapungufu na mabaya yake usimuache. Itapendeza zaidi akiwa Mkuu wa Mkoa wa Pwani, awe karibu na rafiki yake Ridhwani...
Ipo Sala maarufu sana isaliwayo na wana Katoriki baada tu ya matoleo inayofahamika kama, 'HILI NI FUMBO LA IMANI'.Sala hiyo inafikirisha sana!
Mfano, Siasa hasa za ULIMWENGU huu zimejaa mafumbo...
Niliona kwa JK na kwa Magufuli, sijajua kwa Mh Mkapa na Mwinyi na Nyerere kama wazee wa mila waliwakatisha na kuwapa mkuki na ngao.
Naomba kujua/picha kama Mh Rais Samia Suluhu kama pia alipewa.
Hii Tanzania huwa inanishangaza sana. Likifanyika jambo zuri la kisera au lenye baraka za mawaziri, ridhaa ya Rais, n.k, sifa humiminiwa Raisi na Waziri anaweza hata asitajwe.
Cha ajabu na...
Vyama vingi kama sio vyote hapa Tanzania Mwenyekiti ndiye anayeteua Katibu mkuu wa chama. Kwa kuzingatia umuhimu wa nafasi hii sio jambo la afya hata kidogo mtu mmoja aaumue mwenyewe nani atamweka...
Shikamoo mama Samia. Nimeona uko serious sana na report ya CAG. I love you. Nchi hii imejaa notable crooks. Please deal with them.
Nenda kwenye public institutions and do something. Halmashauri...
Katika mahojiano ya Jana VOA
-Anasema Vyama vya upinzani havijaenea kama CCM,kwa hiyo hii inathibitisha ushindi wa kishindo wa CCM kwenye uchaguzi mkuu 2020?
-Mbona hakuzungumza kuhusu...
Busara na msimamo ndio jambo la msingi sana kwa mwanadamu anayejitambua, kujiamini na kujipanga kwa kesho yake.
Ajali ya kisiasa aliyoipata Dr. Bashiru ni pigo kubwa kwake na kwa watu waliokuwa...
Stalin baada ya kifo chake alirithiwa na Nikita Khrushchev., Siku mmoja akiwa ana hutubia Kamati Kuu huku akipinga sera nyingi ya mtangulizi wake, Mjumbe mmoja bila ya kujitambulisha alikereka na...
Kuna kipindi kuelekea mwishoni mwa muhula wa 2015-2020 wa JPM, mambo yalikua very 🔥, ni wazi kabisa kulikua na kundi la vigogo kwenye chama na ndani ya mifumo ya dola walikua wanamhujumu hayati...
Salam kwenu wanajukwaa,
Niende moja kwa moja kwenye mada, kama tunavyofahamu leo Mh. Rais alikuwa akiwaapisha mawaziri wetu ili kuendelea kuliendesha gurudumu la maendeleo ya Tanzania...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.